Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naibu spika!Ukitaka kuwa maarufu BONGO fanya kitu kisicho cha Kawaida..
Na utashangaa ana Followers wengi kuliko hata....
mbona ana sura mbaya tuKwa kweli huyu dada anatia hasira sana na ulimwengu wa sasa hivi pesa imetufanya binadamu wengi tuwe vichaa kwa kufanya mambo ya ajabu ili tuu mkono uende kinywani na kupata kick za kipumbavu mjini. Mimi nikiona picha zake nyingi anazopiga naumia moyo naona kama vile ni mtoto wangu ndio anafanya hivyo jamani.
Wazazi wa huyu binti nahisi hawana smartphone ya kuwafanya waone mambo anayoyafanya binti yao.
![]()
Mkuu, what If mwanao akiamua kuwa Shoga, utaheshimu maamuzi yake?Mimi sioni ubaya akifanya kile roho yake unapenda binadamu anaishi atakavyo sio vile wewe utakavyo ata wanangu mimi sintokaa niwapangie waishije ni vema kueshemu maamuzi ya mtu
Sasa kama mama yake naye kahaba huyu afundishwe nni unategemea,Ndo wazazi muwafundishe watoto wenu vizuri
hehehe mkuuu utapiga lipuli bureWeka zote hapa
Kama Wenger! analea mwenyewe vipajiFaki hataki vya kujiuza, anavumbua yeye mwenyewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]WAKATI MWINGINE NAMNA YA KUJUA KAMA MIMBA YA MTOTO ILITUNGWA GESTI!NDIO HIVYO
Haaaa kumi na nane tuuuana 19
Na ataishia kubwiaBaadae mtakuja kuomba msaada tumchangie Gigi money kwa huu ujinga anaofanya akipiga vitu