Picha za Giggy Money zinaumiza moyo kwa ambao ni wazazi

Picha za Giggy Money zinaumiza moyo kwa ambao ni wazazi

mpe mwaka tu....baada ya hapo finish! biashara mbovu sana hii!
 
gigy money giggy mapesa
GMB
 
Kwa kweli huyu dada anatia hasira sana na ulimwengu wa sasa hivi pesa imetufanya binadamu wengi tuwe vichaa kwa kufanya mambo ya ajabu ili tuu mkono uende kinywani na kupata kick za kipumbavu mjini. Mimi nikiona picha zake nyingi anazopiga naumia moyo naona kama vile ni mtoto wangu ndio anafanya hivyo jamani.
Wazazi wa huyu binti nahisi hawana smartphone ya kuwafanya waone mambo anayoyafanya binti yao.
c7c2aaaaee67f8adadf7d4109eeeb6f1.jpg
mbona ana sura mbaya tu
 
Mimi sioni ubaya akifanya kile roho yake unapenda binadamu anaishi atakavyo sio vile wewe utakavyo ata wanangu mimi sintokaa niwapangie waishije ni vema kueshemu maamuzi ya mtu
Mkuu, what If mwanao akiamua kuwa Shoga, utaheshimu maamuzi yake?
 
WAKATI MWINGINE NAMNA YA KUJUA KAMA MIMBA YA MTOTO ILITUNGWA GESTI!NDIO HIVYO
 
Kwanini uumie kwa mtu ambae si ndugu, jamaa wala rafiki yako?! Ni kwa namna gani aibu za Gigy Money inaweza kuwa ya kwako ikiwa wapo ambao ndio hasa wanatakiwa ku-feel hiyo aibu?!
 
Baadae mtakuja kuomba msaada tumchangie Gigi money kwa huu ujinga anaofanya akipiga vitu
 
Back
Top Bottom