christelly
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,462
- 1,467
Mkuu usihangaike kuijibu miccm...Aliwahi kushindwa na Morgan akakataa kutoka madarakani ndio kuvunja katiba
Ya Acacia au ya wapi kiogozi?Makubaliano yamefikia wapi?
Huyu jamaa ni mroho sana...Hii picha ya mwisho mbona kama Mugabe anabembeleza kwa Mkuu wa Jeshi ili aendelee kukalia kiti?
Mke wa Mugabe hana tofauti na akina Hamisa mobeto , ana mdomo utadhani kakulia Buguruni kwa Mnyamani !Kuna kauli mbili tatanishi. Upinzani wanasema amekimbilia Namibia na wengine wanasema yuko nyumbani pamoja Rais Mugabe.
Kwasasa yule delila hayupo mzee anaweza kuachiwa muda ajifie kitini. Tatizo lilikua kwamba mke wangu atashika madaraka. Ndo hawa wahenga wakaona mzee usitutanieHii picha ya mwisho mbona kama Mugabe anabembeleza kwa Mkuu wa Jeshi ili aendelee kukalia kiti?
Hii picha imemaliza kabisa. Comrades hawatupani Giree ndio alikua anazingua
Hapa ndio wanafurahia kabisa.
Hivi wanasiasa unawajua kweli likija suala la madaraka wanavyokuwa? Makamu Emmerson Mnangagwa alikuwa swahiba wake kabla ajampata Bi Crace. Lakini chek alivyomdhalilisha.Hakuna damu itakayomwagika huyo cdf na Mugabe ni marafiki tangu walivyokuwa na miaka 20 ,walikuwa msituni pamoja
Kauli ya cdf hawana shida na bob Bali wanaomzunguka zanu pf
Hakuna hata risasi italayomwagwa ,wana settle maslahi yao tu na hata Bob akiondolewa ,ataondolewa kwa kubembelezwa na heshima
Kosa la Bob ni kumfukuza rafiki yao wa zamani vice ,hata Bob akikataa hakuna damu itakayomwagwa ,wanajuana hao hvyo watayamaliza kwa amani
...high...Hawa wazee sio wa kuwapa nafasi ya mazungumzo!! Wana highly negotiation skills!!
sawa tutajitahidi kupunguza midomo kwa nyie muishio masaki.Mke wa Mugabe hana tofauti na akina Hamisa mobeto , ana mdomo utadhani kakulia Buguruni kwa Mnyamani !