elibarikimollel310
Senior Member
- Oct 9, 2017
- 136
- 101
Uliza walifanya nini kongo.Jeshi la mafala!
Wapi anapo bembeleza?Hii picha ya mwisho mbona kama Mugabe anabembeleza kwa Mkuu wa Jeshi ili aendelee kukalia kiti?
umeiva murahHuyu mkuu wa majeshi ni boya Tu kama ana kijana wake yuko jeshini anapaswa afanye kumshikisha adabu
Kama unateka nchi afu unakaa kwenye mazungumzo na uliyowateka huo siyo uasikari labda kama hilo jeshi lao kama wanafanyaga hivyo
Kama nia yake alikuwa ni kumtoa Mugabe na kumuweka MTU mwingine mazungumzo ya nn wazimbabwe wenyewe waoga kama watanzania hawana hili wala lile
Mwambieni huyo kamanda maji hayapandi mlima
Sengwile makamanda ndyo ilitakiwa isikike halale mida hii huku jeshi likiendelea kugawana nyazifa mbalimbali
Safi sana wanajeshi,na maveteran wa vita ya ukombozi,hako kazee,inabidi kajiuzuru tu,ila na nyie mmechelewa sana,mpaka mchepuko ulipotaka kupewa umakamu wa Raisi ndio mkashituka,Picha za kwanza za mkutano kati ya Rais Robert Mugabe na Mkuu wa majeshi ya Zimbabwe Jen Constatino Chiwenga pamoja na Padri wa Kanisa Katoliki Fidelis Mukonori, na wajumbe kutoka Afrika Kusini katika Ikulu ya Harare zimetolewa.
Gazeti la Serikali la Herald limepakia picha hizo kwenye akaunti ya Twitter.
Rais Robert Mugabe anashiriki mazungumzo Ikulu mjini Harare kwa lengo la kutafuta ufumbuzi wa kisiasa nchini humo.
Yes. Huyo CDF pamoja na most senior army officers walikuwa na Mugabe porini enzi zile wanadai uhuru. Ni washkaji kwa kifupi na hawataki mwisho wa mzww uwe mbaya na wa aibu. Tatizo limekuja hapa mwisho mzee anataka kumuachia Nchi bebii. Kama mzee ataendelea kuresist hizi favour, itawabidi wachukue maamuzi magumu tu.Hata hivo wamekifanyia Heshima sana kibabu hicho Kinachonga nchi kwa mke.
UVfisiem hao washafikaAmani ni tunda la haki na demokrasia.
Ni wapi Mugabe alipovunja katiba ya Zimbabwe?
Nija zinazokubalika kumuondoa madarakani ni kupigwa kura na kukataliwa na wananchi.
Mke wake kupanda profile ndani ya Zanu PF ni kosa kikatiba?
Ndani ya Zanu PF zipo taratibu za kumzuia mke wa mugabe kukosa fursa ya kuwania urais kwa tiketi ya Chama hiko...kuna ukakasi gani wa kufuata hizo taratibu?
Kumpindua Mugabe sio halali kama ilivyotaka kutokea Burundi na maeneo mengine.
Hatuwezi kuwa na jamii inayodefine demokrasia kwa upendeleo.
Umewaona ee na wao jambajamba zishawaanzaMalizana nao!
Si kwamba jeshi ndo linalo mbembeleza mugabe aondoke?Kwani kikao kilifanyika wapi mpaka una wapi anabembeleza?
Majadiliano yanayo endelea ni ya nini sasa kama wana uwezo huo?......jeshi lina mbembeleza mugabe kwa sasa!.Wana uwezo wakumwambia mzee wewe sasa basi na asifanye chochote, kwa kile alichofanya kumfukuza Emmerson Mnangagwa na kupokea ushawishi kwa Bi Crace
Ni Harare mkuu siyo halale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .......kimbilio la vilazaHuyu mkuu wa majeshi ni boya Tu kama ana kijana wake yuko jeshini anapaswa afanye kumshikisha adabu
Kama unateka nchi afu unakaa kwenye mazungumzo na uliyowateka huo siyo uasikari labda kama hilo jeshi lao kama wanafanyaga hivyo
Kama nia yake alikuwa ni kumtoa Mugabe na kumuweka MTU mwingine mazungumzo ya nn wazimbabwe wenyewe waoga kama watanzania hawana hili wala lile
Mwambieni huyo kamanda maji hayapandi mlima
Sengwile makamanda ndyo ilitakiwa isikike halale mida hii huku jeshi likiendelea kugawana nyazifa mbalimbali
Yuko NamibiaGile yupo?
Yupo anamsubiri DADY....Gile yupo?