Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
ni tradition hiyo, ipo kwa maelfu ya miaka, prince lazima awe mjeda na atake active role ikitokea vitaHivi hua kuna siri gani hawa royals wote wa kiume kupitia jeshini? Ukiangalia watoto wao wote wa kiume pia ni wajeda au wamepitia jeshini
Alikuwa mzaliwa na raia wa Greece, lakini mama yake ni mjukuu wa Queen Victoria kwa hivyo ni wana undugu na Queen Elizabeth ambaye naye ni mjukuu au kitukuu cha Queen Victoria. Prince Philip alikulia Britain na baadae alipoanza kuonyesha interest kwa Elizabeth alipewa uraiaHuyu marehemu alikuwa raia wa wapi? England??? Alikuw mjeshi kabla au baada ya kuchumbia ndio akapelekwa jeshini
Denmark and GreeceAlikua Mjeshi, asili yake Ujerumani na Ugiriki.
itoshe tu kusema kwamba, malkia alikuwa pisi kali
Field Marshall katepeta Kama putoMmh wewe unataka nikatwe vidole na field marshal
Anazikwaje ukweni? Matanga watapeleka Denmark?Denmark and Greece
Huyu ndiyo kiposongo ghali kutokeaNa amevumilia na kujitolea mengi, mpaka kuzikwa anazikwa ukweni, watoto hawakubeba jina lake. Mke pia anaitwa Elizabeth Windsor.
... percentage ya genes za Prince Phillip ndani ya Prince William ni kubwa mno; ni zaidi ya first degree relationship. Ni true image of his grand-parent.Prince phillip na prince william ukicheck picha za ujana wamefanana sana, Royal Families Lives Royal under the earth
RIP mwanaume uliyeishi mazingira hatarishi kuliko yoyote awayeView attachment 1175074
Siku wanatangaza engagement yao 1947
View attachment 1175075
Picha ya kumbukumbu ya engagement
View attachment 1175076
View attachment 1175077
View attachment 1748000
Prince Philip and Queen Elizabeth II first met when she was just 13 years old.
After his boyhood school days were over, Philip enrolled as a naval cadet at the Royal Naval College at Dartmouth. This was where he met his future wife for the very first time.
During a 1939 royal visit to Dartmouth, Queen Elizabeth (that is, the present queen’s mother, the wife of George VI) asked if Philip would chaperone her two young daughters, princesses Elizabeth and Margaret, for the duration of the visit. Philip and the future Queen Elizabeth II began exchanging letters shortly afterwards, and a romance quickly bloomed.
Mkewe anakufa lini?Inasemekana mwili wa Prince watauhifadhi mpaka mke wake akifariki watawafanyia mazishi ya pamoja.
Watu walioishi pamoja kwa muda wote huo huwa hawapishani sana kusepa. Soon Malkia nae ajali yake itafika. Kuna vitu atamis hususan zile story za kukumbushana ya ujanan kabla ya kulala usiku, upweke na kinga dhaifu kulingana na umri vitamwondoa mapema.Mkewe anakufa lini?
Huyu Kijana Philip ali-break vipi kasiri la King George hadi kumpata binti yake? kweli atakuwa alikuwa ni kijana Jasiri sana huyu.View attachment 1175074
Siku wanatangaza engagement yao 1947
View attachment 1175075
Picha ya kumbukumbu ya engagement
View attachment 1175076
View attachment 1175077
View attachment 1748000
Prince Philip and Queen Elizabeth II first met when she was just 13 years old.
After his boyhood school days were over, Philip enrolled as a naval cadet at the Royal Naval College at Dartmouth. This was where he met his future wife for the very first time.
During a 1939 royal visit to Dartmouth, Queen Elizabeth (that is, the present queen’s mother, the wife of George VI) asked if Philip would chaperone her two young daughters, princesses Elizabeth and Margaret, for the duration of the visit. Philip and the future Queen Elizabeth II began exchanging letters shortly afterwards, and a romance quickly bloomed.
aisee waliwahi mno kuzaliwa mwaka 57?View attachment 1175083
Princess Elizabeth na Prince Phillip wakiwa kwenye safari ya kwanza ya kikazi USA 1957
View attachment 1175084
Wakipungia watu mikono DC