Picha za Malkia Elizabeth II na mume wake Prince Phillip wakiwa vijana

Atakuwa anafikiria ile stock yake ya dhahabu anamuachia nani? Wazo la kufa linapotea hapo hapo
 
Huyu Kijana Philip ali-break vipi kasiri la King George hadi kumpata binti yake? kweli atakuwa alikuwa ni kijana Jasiri sana huyu.
Inaelekea aliandaliwa kuwa mume wa Malkia. Alianza mafunzo ya kijeshi kambini ndipo mke wa King George alimuandikia barua kumuomba kuwapa guiding your watoto wake Elizabeth na Margaret. Walati huo Elizabeth alikua na miaka 13. Baada ya hiyo tour waliendelea kuandikiana barua.
 
Philip na Elizabeth wote ni vitukuu vya Malikia Victoria. Philip ni mjukuu wa Ann na Elizabeth ni mjukuu wa Edward ambae alirithi Ufalme wa mama yake.
 
Alikuwa na mwanamke wa nguvu na yeye mwenyewe pia alikuwa ni mme wa nguvu. Wanaume wengi hupenda sana kuwatetea na kuwalinda wake zao wanapojua kuwa wanawake hao wanawategemea na kuwaheshimu; jamaa alimlinda sana malkia hata kama ni kweli yeye ndiye alikuwa anamtegemea malkia. Kwa sisi waswahili mwanamke akishapata shilingi moja zaidi yako au hata akidhani anaweza kuishi bila kukutegemea wewe anaaza kukuletea nyodo hadi unashindwa kuona kama una mke wa kutetea kweli. Jamaa kila siku alikuwa anajua ana mke, na alikuwa anakaa nyuma yake kuhakikisha mke wake yuko salama hata kama mke huyo alikuwa ndiye amiri jeshi mkuu.
 
Ni kweli kabisa, na Malkia alikua anajivunia kuwa na mume kama yeye.
 
Mama Maria Nyerere mpaka leo anadunda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Philip was deeply matter-of-fact about it all. When I remarked that, in some ways, he must have had a difficult childhood, he shrugged it off. ‘I don’t know,’ he said, ‘it was the childhood I had.’
 
Kitendo cha kuwaona William na Harry wakiongea leo hadharani japo for few minutes kimenipa faraja na kuona their future as Brothers is very bright. My favourite members of Royal Family were Lady Di and the two Brothers but nowadays only Prince Harry and his wife.
Ni kweli kabisa, na Malkia alikua anajivunia kuwa na mume kama yeye.
 
Wanaume wote wa Royal Family ni maofisa wa jeshi na walitakiwa leo wote wavae sare za jeshi kumuaga Prince Philip. Lakini kwakua Harry amevuliwa vyeo vyake vya kijeshi, Malkia amesema wote wavae suit wasiwe tofauti na Harry. Malkia ametumia busara kubwa.
 
nakumbuka mazishi ya Princess Diana "Candle in the wind" ilitutoa sana machozi....may her soul continue to rest well.
 
Reactions: BAK
Queen’s decision was excellent I applauded her yesterday when she made that decision against the advice of the ‘institution”
 
Huu ujinga wa kifalme ingekuwa Africa kungekuwa na kelele kibao......ila yameshakuwa outdated hayo mambo ya kifalme....
 
Huu ujinga wa kifalme ingekuwa Africa kungekuwa na kelele kibao......ila yameshakuwa outdated hayo mambo ya kifalme....
Hivi Magufuli angekua Mfalme wetu, saaa hivi yule mwanae Joseph andiye angekua mtawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…