Picha za mradi wa LNG msumbiji.

Picha za mradi wa LNG msumbiji.

Huu mradi ungetolewa kwenye manaratasi na kutekelezwa kule Lindi,Nina uhakika unfeketa mabadiliko makubwa sana,kuanzia Lindi na Mtwara hadi kitaifa.

Sijui hii nchi tumekwama wapi!! Au billion 36$ zimeshindwa kupatikana?

ChoiceVariable
Umekwama kutokana na wajamaa kudai pakubwa wakati hakuna pesa wameweka , Wazungu wamesusa zaliaheni wenyewe tuone.
 
Sasa hapo pa wajamaa si ungesema tu serikali ya sisiem ndiyo inakwamisha?

Hii nchi mauza uza hayatawahi kuja kuisha mpaka tunarudi kwenye mchanga kmmk.
Rais anataka ila timu ya majadiliano imeweka ngumu Baadhi ya Vipengele na kama unavyojua Rais hawezi lazimisha ,nyie Wabara hamuaminiki Kwa unafiki mje kusema ameuza Mali zenu za Tanganyika. 👇👇

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1792499817639297241?t=ZAxJ2eN_myN3ycw5aB8wFA&s=19

Ameamua kuacha hana hasara maana alishafanya juhudi za kuwarudisha wawekezaji ambao walikimbia ila hamtakintena
 
Kwa hiyo nini mwelekeo wa huu mradi kwa sasa?

Yapi matazamio ya serikali ya Samia?
 
Kwa hiyo nini mwelekeo wa huu mradi kwa sasa?

Yapi matazamio ya serikali ya Samia?
Hakuna kitu tena hapo,hiyo ndio imetoka.

Wewe si umesoma hayo masharti mapya hapo Juu wanayo demand? Yaani Mwekezaji atoe hayo matrilioni afu mje kusuluhishana Mahakama za Dar ambazo Rais anaagiza tuu? Hakuna mjinga wa hivyo hapa Duniani.

Gas inapatikana maeneo mengi sana Duniani ,wanawaachia mfanye wenyewe Mradi wa gesi-Lindi LNG Wa Thamani ya Trilioni 105 Hatihati Kukwamishwa na Michakato Isiyoisha. Ulitarajiwa Kuwa Legacy ya Samia
 
Yetu wahuni wa CCM na serikali yake walipiga na mpaka sasa hatujui hata mmiliki ni nani, watu wanao pigia kura CCM either ni wajinga na wapumbavu kupindukia kama yule chawa Mwanshambwa au Wana maslahi, haiwezekani nchi tajiri iwe na uchumi kama wa Burundi ambao hawana raslimali yeyote zaidi ya ukabila wawekewe kundi Moja na Tanzania

Hapo Kuna mambo matatu .
Kuna Tanganyika ambayo ni nchi yenye rasilimali nyingi sana .

Kuna Zanzibar ambayo ni nchi nchi ndogo yenye rasilimali chache sana lakini ni nchi yenye matajiri wengi na wabinafsi sana. Uchumi wake ni mzuri lakini hauna tija kwa wananchi zaidi ya wanasiasa.

Lakini pia kuna nchi inayoitwa Tanzania ambayo Rais wake ni mdhamini wa Rasilimali za Tanganyika .
Tatizo ni kwamba Tanzania Haina Rasilimali . Hapo ndio maana waliopewa dhamana wanaziigeuza rasilimali za Tanganyika kuwa za kwao.

Tanganyika Haina msimamizi . Wakati wa Muungano wa Nyerere na Karume Waziri mkuu alikua mi makamu wa Rais wa Pili. CCM waliamua kuondoa hiyo nafasi kwa kuhofia kuwa na makamu WA kwanza wa Rais kutokea Upinzani

Kwa hiyo ni sahihi kabisa Tanzania kuilinganisha na Burundi mana haina Rasilimali.
Kinachitakiwa ni kumnyanganya Rais wa Tanzania mamlaka ya kudhamini mali zote za Tanganyika.

CCM imeshindwa kuwadhibiti wasimamizi wa Rasilimali za Tanganyika ndio maana Kwa Sasa zinakwenda mikononi mwa wageni.
 
Hakuna kitu tena hapo,hiyo ndio imetoka.

Wewe si umesoma hayo masharti mapya hapo Juu wanayo demand? Yaani Mwekezaji atoe hayo matrilioni afu mje kusuluhishana Mahakama za Dar ambazo Rais anaagiza tuu? Hakuna mjinga wa hivyo hapa Duniani.

Gas inapatikana maeneo mengi sana Duniani ,wanawaachia mfanye wenyewe

Tanganyika ni Urusi ya Afrika Mashariki na kusini pia .

Tunahitaji kumpata MTU kama Putin basi . Wawekezaji wengi ni zao la wizi na uhalifu uliofanyika Karne ya kumi na tisa . Kwa hiyo mtu anayeamini kuwa wawekezaji ni watu wema anajidanganya sana.
 
Putin ndio amefanya nini? Usilinganishe Nchi Tajiri wa Maliasili na ufukara wenu.
 
Huu mradi ungetolewa kwenye manaratasi na kutekelezwa kule Lindi,Nina uhakika unfeketa mabadiliko makubwa sana,kuanzia Lindi na Mtwara hadi kitaifa.

Sijui hii nchi tumekwama wapi!! Au billion 36$ zimeshindwa kupatikana?

ChoiceVariable
Bado tuko fofofo, tunawaza tu kusafiri na wasanii... tunahitaji majibu ya lini sisi kama nchi tunaweza kuwa self sufficient ktk kila nyanja, bado tu wanalazimisha kutuongoza bila kutoa majibu ya matatizp yetu... Eee MUngu tusaidie kwa kweli..
 
Sasa si utoe maelezo watu waelewe, umebaki kusema unajua, unajua tu.
 
Tanzania ndio ilikuwa inachochea wale al shabab huko Mozambique ili washindwe kuaanza mradi huu
Sasa Walivyoona Rwanda na South Africa wamepeleka majeshi, wakaona aibu, na wao kupeleka, sasa Rwanda na South wamemuangushia juma bovu na kutoa majeshi yao, kabaki peke yake
 
Wapigaji wameshachukua Chao, aliyepewa anasubiri kelele ziishe aanze kuvuna Kwa miaka 100 ijayo, ni kama bandari na migodi yote ya dhahabu etc tuu
Kelele zitaisha lini? Nani kapewa ? Kwani huko Msumbiji gesi ni ya nani?
 
Nikikumbuka jinsi watu walivyopigwa kipindi kile ili gesi isafirishwe na yanayo tokea Leo inasikitisha Sana. CCM ni kufuru Sana.
 
Back
Top Bottom