ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Umekwama kutokana na wajamaa kudai pakubwa wakati hakuna pesa wameweka , Wazungu wamesusa zaliaheni wenyewe tuone.Huu mradi ungetolewa kwenye manaratasi na kutekelezwa kule Lindi,Nina uhakika unfeketa mabadiliko makubwa sana,kuanzia Lindi na Mtwara hadi kitaifa.
Sijui hii nchi tumekwama wapi!! Au billion 36$ zimeshindwa kupatikana?
ChoiceVariable