Picha za ndege alizonunua Mwalimu Nyerere

Picha za ndege alizonunua Mwalimu Nyerere

Naona hamtaki na ATCL ikaguliwe na CAG hahah,wapigaji bana.
kuna wahuni wamezifilisi... awamu ya 3 ilikuwa ya kupiga tu...

mali nyingi za uma zilipotelea awamu ya 3. na tuliyempa dhamana akajiuzia mgodi nae kwa bei ya boda boda
 
Uzuri mnaoponda hapa hamtafika hata 50. Ni walewale wa 5 mnapost na kujijibu uzi unafika kurasa 10.

Mnataka Serikali inunue kimyakimya halafu zipotee kimyakimya baadae. Sasa hivi ni uwazi kila mtu aone ili baadae ahoji.

Ndiyo maana watu wengi hawakujua kuwa Tz ilikuwa na ndege kipindi cha nyuma mpaka Magu alipowaeleza. Na kitu kingine serikali lazima iwaambie wananchi wake kuhusu mafanikio yao ili wawe na kujivunia nchi yao.

Kingine, kwa sasa hatuzungumzii picha za ndege za kipindi cha Baba wa Taifa. Mambo ya kuzungumzia picha bila ndege yalikuwa awamu ya 4 na 3, sasa hivi tunazungumzia ndege halisi 11 za AirTz.
Unasesema sasa hivi nchi ina uwazi kwenye kila kitu wakati CAG ametaadharishwa asithubutu kusogelea hesabu za ATCL, hesabu za ujenzi wa barabara, hesabu za Chato International Airport nk
 
kuna wahuni wamezifilisi... awamu ya 3 ilikuwa ya kupiga tu...

mali nyingi za uma zilipotelea awamu ya 3. na tuliyempa dhamana akajiuzia mgodi nae kwa bei ya boda boda
Kuna mtu anaitwa Mataka yule jamaa wa kuua kabisa akaenda kuingia mkataba na wa south africa hadi shirika likafa
 
Back
Top Bottom