Picha za ndege alizonunua Mwalimu Nyerere

Picha za ndege alizonunua Mwalimu Nyerere

Mkuu hii inaweza kutuandika history mpya na kumbukumbu za watu walio litumikia taifa na kukosa kukumbukwa

Unaonaje ukatuandalia kumbukumbu za huyu rubani na mambo yanyo mhusu kama unaelewa japo kwa uchache

Samah kama nimekupa kazi ngumu
Siwezi sababu mke wake ni mtu wa karibu sana na mimi na ni watu wamestrugle maisha yao kupata haki mpaka Shemeji Mazura anafariki. Tusiende mbele maana wengi wanasoma humu ila tujue watu waliolitumikia taifa hili wamekufa vifo vya aibu. Mazura aliwazuga wale wakuteka ndege akawarudisha Dar wenyewe wanadhani wanaingia London hao ni wa pili. Wa kwanza walishushwa wakakamatwa ndo hao walifungwa huko UK akina Memba.
 
Sawa mkuu usijal nashkuru
 
Hivi serikali ya JMT iliwahi kununua ndege kweli kabla ya JPM, mmh sidhani...

Zile sio zilikuwa za kukodi na zile nyingine za mwanzo ni urithi baada ya kuvunjika kwa E.A.C???
 
Hivi serikali ya JMT iliwahi kununua ndege kweli kabla ya JPM, mmh sidhani...

Zile sio zilikuwa za kukodi na zile nyingine za mwanzo ni urithi baada ya kuvunjika kwa E.A.C???
Mwalimu katuacha na Ndege 14, alafu we unasema Mwalimu hajawahi kununua ndege?
Shirika la Ndege la Afrika mashariki lilivyokufa sisi tulichonufaika nacho ni meli tu,

Ndege zote wakenya walikomba

Britannica
 
Hata mimi nilikuwepo ila sikubahatika kumuona yule Rubani wangu..... Bado sijabahatika kupata flight ambayo yeye ndo Rubani..... nna shaukwa....
Unataka akikune kitu gani nikutumie namba
 
Unataka akikune kitu gani nikutumie namba

Kila nikionaga ID yako namkumbuka yule mhindi alipoingia dukani, Jumaa ataka ile gauni K.unduu badala ua kusema nyekundu...

Namba yake siitaki nataka nisafiri na yeye ndo awe pilot, tukiwa kule mawinguni niende kule cockpit nimuombe co pilot atoke aniache na huyo pilot wangu kwa nusu saa tuu wakati chombo kikiwa auto pilot.

Na baada ya hapo hata namba yake siitaki.

Huwa sipendi namba za simu za watu, I just like people not their numbers.
 
Airport chato
Bank chato
Tra chato
Uwanja wa soccer chato
Barabara za lami na Mataa pasipo magari chato
Huyu makabila, legacy au umabutu seseko?
Kwani Chato siyo watanzania? Huyo aliyepeleka kodi zetu kwenye harakati kuna mtanzania yeyote ananufaika kwa namna yeyote?
 
Kwani Chato siyo watanzania? Huyo aliyepeleka kodi zetu kwenye harakati kuna mtanzania yeyote ananufaika kwa namna yeyote?

Kwani ulisikia Nyerere kafanya hivo butiama? Si umemlinganisha Nyerere na wa chato!
 
Mwalimu katuacha na Ndege 14, alafu we unasema Mwalimu hajawahi kununua ndege?
Shirika la Ndege la Afrika mashariki lilivyokufa sisi tulichonufaika nacho ni meli tu,

Ndege zote wakenya walikomba

Britannica
Kuna mahali hizi taarifa zipo nikasome?

Maana kwa mujibu wa mahali fulani niliwahi kusoma ambapo Andy Chande yule mzee wa wajenzi huru alielezea chimbuko la Any Time Cancellation "ATC", ambapo ilianza na vindege vidogo dogo vilivyosalia na ndege kubwa mbili(Boeing 737) za mkopo toka benki ya US...

Ndege nyingine zozote kubwa zilikuwa ni za kukodishwa toka Ethiopia, SA na kwingineko...(na hii ni wakati wa Mwinyi)
 
Kwani ulisikia Nyerere kafanya hivo butiama? Si umemlinganisha Nyerere na wa chato!
Kwani Nyerere ni benchmark ya uongozi nchi hii? Mbona ni loser mzuri tu.

Mtu anaweza asijenge kwao lakini akatapanya rasilimali za nchi ovyo!
 
Back
Top Bottom