Picha za Tamasha la Jenifa Lopez Saudi Arabia

Picha za Tamasha la Jenifa Lopez Saudi Arabia

mtasema ni waajemi, ni sawa na kusema wasomali si waafrika
hii ni mojwapo ya comment za kijinga kupata kuioa JF. Hii naona inazipiku zote.

Nani alikudanganya Uarabu ni kontinenti fulani kama Afrika?
 
Saudia arabia ipewe tu uenyeji wa kombe la dunia. Naona imetupilia mbali mila za kislam na kukumbatia umagharibi zaidi huku al qaaba ipo katika ardhi yake.
Al Qaaba ni mwamba(rock) kama miamba mingine, tofauti ni kwamba umefunikwa kwa kitambaa cheusi chenye maandishi ya Kiarabu na ukichinja mnyama lazima kichwa ukielekeze kuliko huo mwamba popote unapochinjia duniani dah....! Na wanaamini katika huo mwamba wakizikwa lazima kichwa kielekezwe ulipo huo mwamba.
NB😀ini zote ni hekaya za kufikirika zisizo na uhalisia.
 
106182057-1571142619494rts2r42w.jpg

MBS ni Kiongozi anayeleta Mageuzi makubwa katika Nchi ya Saudi Arabia, kuliko Vijana kusikiliza Mashehe waliojawa na chuki dhidi ya Nchi za West yeye anataka Vijana wajumuike kwenye Matamasha na wazipende Nchi za Magharibi.

Na Mashehe wengi wanaosambaza Radical Islam wako Magereza.

Dunia ya AI hii muda wa kumsikiliza Shehe mwenye chuki umeshapitwa na wakati.
 
hii ni mojwapo ya comment za kijinga kupata kuioa JF. Hii naona inazipiku zote.

Nani alikudanganya Uarabu ni kontinenti fulani kama Afrika?
tunaposema waafrika watu weusi tii na sio bara, au hujui kuwa bara la afrika lina watu ambao si weusi ila wanaitwa waafrika kwa kuwa wanakaa barani afrika?
 
Wale Polisi wa kulinda maadili huko hawapo?...
Siku hizi hao Polisi wa Ayatolah huwa wanapigwa huko mitaani juzi niliona Clip moja Polisi wa maadili akijaribu kumshika Mwanamke aliyekuwa anaendesha Baiskeli bila Hijabu akachezea kipigo akachangiwa na Watu waliokuwa wakipita njia pamoja na Mwamke huyo mpaka yule Polisi wa Ayatolah akakimbia😆😁😆

Wairani wamechoka kuishi kama Watu wa Karne ya Saba.
 
Wale Polisi wa kulinda maadili huko hawapo?...
Hizo sheria hazina uzito huo, ni kama sheria kwamba gari inapaswa kuwa na first aid kit, je wangapi wanatembea na first aid, au boda na abiria wavae helmet, lakini unaona boda wanakatiza katikati ya jiji hawana hata helmet na askari hawana time nao... Ndivyo ilivyo huko hayo mengine ni media kukuza mambo...
 
Back
Top Bottom