Picha zikiwaonyesha Wazamiaji wakidandia meli kwa kukaa kwenye kizimba cha majembe ya kusozea meli kwa muda wa siku 11

Aiseee

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
sijui nilipata wapi mahojiano itakuwa mtandao wa TED .anasema "wazungu ndio walilazimisha kuharibu africa ili vyote viende kwao ila mwisho wa siku waafrika watawafata huko huko sababu vipo kwao"
Wazungu wana mabaya waliotufanyia, lakini waafrika tunaumizwa na watawala wetu,
Mfano Mwigulu Nchemba anatembelea gari ya 450m, wakati kuna wagonjwa wanalala chini, wanafunzi wanakalia mawe na matofali,
Pia wakituibia wanaenda kuficha huko kwa wazungu, halafu wanaenda hukohuko kuomba msaada na mikopo,
 
Siku 11 wamejituliza hapo tu sehemu moja
 
sijui nilipata wapi mahojiano itakuwa mtandao wa TED .anasema "wazungu ndio walilazimisha kuharibu africa ili vyote viende kwao ila mwisho wa siku waafrika watawafata huko huko sababu vipo kwao"
Bure tunasingizia wazungu. Haya ''ma-ugoro'' ya kusingizia kushindwa kwetu eti ni wazungu wamesababisha yalishapitwa na wakati. Tatizlo la mwafrika chanzo chake ni yeye mwenyewe.
 
Dahh..
 
Bure tunasingizia wazungu. Haya ''ma-ugoro'' ya kusingizia kushindwa kwetu eti ni wazungu wamesababisha yalishapitwa na wakati. Tatizlo la mwafrika chanzo chake ni yeye mwenyewe.

kwani anaye kuhujumu ni nani !. bila wao tokea kukutawala na sasa wanakutawala mpaka ujinga wako
 
kwani anaye kuhujumu ni nani !. bila wao tokea kukutawala na sasa wanakutawala mpaka ujinga wako
Kusingizia wazungu ni uzembe wa kutotumia akili na maarifa.Kama umelijua tatizo(kama ni tatizo halisi)basi umepata kwa kuanzia na wala si kulaumu au kusingizia.
 
sijui nilipata wapi mahojiano itakuwa mtandao wa TED .anasema "wazungu ndio walilazimisha kuharibu africa ili vyote viende kwao ila mwisho wa siku waafrika watawafata huko huko sababu vipo kwao"
Toa taito waikumbuka
 
Nigeria imekuwa kama eneo la vita kila mtu anataka kutoroka kwa vyovyote vile!
Sio tu Nigeria ila nchi zote za West na North Africa wapo tayari kwa lolote ili waingie Ulaya.. na hii inatokana na ufahamu wao mkubwa juu ya maisha ya ulaya...let's see 100 euros malipo ya chini kwa siku moja, sawa na lakimbili na nusu ya Bongo nani hataki kuzipata hizi?? Si wabongo pekeyao wasiojuwa umuhimu wa ulaya....kuna mtu humu alitangaza ana mgahawa mshahara lakimoja kwa mwezi mzima.
 
Sijui nilipata wapi mahojiano itakuwa mtandao wa TED .anasema "wazungu ndio walilazimisha kuharibu africa ili vyote viende kwao ila mwisho wa siku waafrika watawafata huko huko sababu vipo kwao"
Ina maana hata leo bado wazungu wanatutawala?
 
Kuna ndg yangu Ali storeway alipitia boda Sudan sjui waitafute misri waingie ulaya mpaka leo hatujamuona wala kumsikia
Miaka ya 87 hiyo alindokaga

Ova
Dah inauma sana, enzi hizo kuzamia ndo dili, Vip hakuacha watoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…