Picha zikiwaonyesha Wazamiaji wakidandia meli kwa kukaa kwenye kizimba cha majembe ya kusozea meli kwa muda wa siku 11

Picha zikiwaonyesha Wazamiaji wakidandia meli kwa kukaa kwenye kizimba cha majembe ya kusozea meli kwa muda wa siku 11

Kuna ndg yangu Ali storeway alipitia boda Sudan sjui waitafute misri waingie ulaya mpaka leo hatujamuona wala kumsikia
Miaka ya 87 hiyo alindokaga

Ova

dah alirisk sana, bora zama zile angecheza kamari kwa kuchukua mtemba bandarini hapo au Mozambique au Durban.

Dah kukatiza hiyo chocho ya Sudan ukaibukie Misri ni hatari, ni kama sasa watu wanavyokatiza hiyo Chad uingie Libya then ujimwage majini to Italy.
...
 
dah hatari sana aisee.

hawa hawana connection inabidi wajilipua kibabe, siku hizi ukiwa na connection Europe na America unaingia bila mateso haya, mateso utapambana nayo ukishafika, lakini njiani easy unapenya...
 
inaonekana pia wanautalaam wa seasonal za baharini maana ikiwa kipindi cha rough sea dah hao wasingemaliza hata week hapo maana mtemba unayumba balaa maana unapigwa makofi mpaka unaning'inia angani ukijakuridi kukaa ni bonge ya mtikisiko
 
Hatutakiwi kuridhika pengine tushukuru kwa vichache tulivyobarikiwa...
Issue za kuzamia aaaah nkikumbuka DEAD REVOYAGE mzuka unakata
 
Ni kweli udhaifu sio sifa, umasikini nao sio sifa pia, uliwahi kujiuliza hata siku moja ikitokea dunia nzima tukawa matajiri na mikwanja ya kueleweka itakuwaje? Nani atakae tumwa nani atakae fanya kazi... n.k Mungu fundi nyie acheni tu.
 
Kuna ndg yangu Ali storeway alipitia boda Sudan sjui waitafute misri waingie ulaya mpaka leo hatujamuona wala kumsikia
Miaka ya 87 hiyo alindokaga

Ova
kumbe haya mambo niyasikiayo kwa vijana wa sasa kumbe hadi vijana wa zamani wa enzi ya nyerere nao waliweza
 
Mpaka Nusu ya mwaka huu, 2022 Nigeria ndio nchi yenye uchumi mkubwa Africa. Ya Kwanza kati ya nchi 56 za Africa, Kwamba uchumi wa nchi hauna uhusiano na maisha ya watu,
 
Nigeria ni miongoni mwa nchi "tajiri" na zenye "kipato" kikubwa.Sasa,ni kwa nini watu wake waikimbie na kuzurula duniani kutafuta maisha bora zaidi?Bukhari ajibu swali hili.
Kabla Bhuhari hajakujibu, naomba saa mia ajibu. hili swali, Tanzania ni nchi pekee Dunia inayozalisha tanzanaiti, pia ni nchi ya tatu Dunia kwa kuzalisha Dhahabu! kwann Bado maskini!?
 
Duh! Hawa jamaa wana roho ngumu sana na hawakua na chakupoteza,wapewe kazi huko walipofikia maana wana moyo wa kujitoa na wapo tayari kufanya kazi yeyote ile kwa bidii na kwa kujitoa,

Good luck wapambanaji wa maisha,

Kwakumalizia,njia hiyo ya uzamiaji ni hatari sana kwa maisha yako.
Hivi papa asingeweza kuwadonoa hapo?
 
Kuna ndg yangu Ali storeway alipitia boda Sudan sjui waitafute misri waingie ulaya mpaka leo hatujamuona wala kumsikia
Miaka ya 87 hiyo alindokaga

Ova
Yuko hai kweli huyo?
 
dah alirisk sana, bora zama zile angecheza kamari kwa kuchukua mtemba bandarini hapo au Mozambique au Durban.

Dah kukatiza hiyo chocho ya Sudan ukaibukie Misri ni hatari, ni kama sasa watu wanavyokatiza hiyo Chad uingie Libya then ujimwage majini to Italy.
...
Hiyo route noma ilikuwa

Ova
 
Nashauri wasirudishwe, Wapewe kazi za kufanya kulingana na ujuzi WAO Kwenye nchi waliokimbilia
 
Back
Top Bottom