Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Kuna ndg yangu Ali storeway alipitia boda Sudan sjui waitafute misri waingie ulaya mpaka leo hatujamuona wala kumsikia
Miaka ya 87 hiyo alindokaga
Ova
kumbe haya mambo niyasikiayo kwa vijana wa sasa kumbe hadi vijana wa zamani wa enzi ya nyerere nao waliwezaKuna ndg yangu Ali storeway alipitia boda Sudan sjui waitafute misri waingie ulaya mpaka leo hatujamuona wala kumsikia
Miaka ya 87 hiyo alindokaga
Ova
Kabla Bhuhari hajakujibu, naomba saa mia ajibu. hili swali, Tanzania ni nchi pekee Dunia inayozalisha tanzanaiti, pia ni nchi ya tatu Dunia kwa kuzalisha Dhahabu! kwann Bado maskini!?Nigeria ni miongoni mwa nchi "tajiri" na zenye "kipato" kikubwa.Sasa,ni kwa nini watu wake waikimbie na kuzurula duniani kutafuta maisha bora zaidi?Bukhari ajibu swali hili.
Ni hatariHatutakiwi kuridhika pengine tushukuru kwa vichache tulivyobarikiwa...
Issue za kuzamia aaaah nkikumbuka DEAD REVOYAGE mzuka unakata
Pia hata huku wapo vijana wanaozamiaKwao hakuna bodaboda?
Au kwao hailipi?
Siasa zinafanya eden kuwa jehanum.Africa ni mateso mwanzo mwisho
Hivi papa asingeweza kuwadonoa hapo?Duh! Hawa jamaa wana roho ngumu sana na hawakua na chakupoteza,wapewe kazi huko walipofikia maana wana moyo wa kujitoa na wapo tayari kufanya kazi yeyote ile kwa bidii na kwa kujitoa,
Good luck wapambanaji wa maisha,
Kwakumalizia,njia hiyo ya uzamiaji ni hatari sana kwa maisha yako.
Yuko hai kweli huyo?Kuna ndg yangu Ali storeway alipitia boda Sudan sjui waitafute misri waingie ulaya mpaka leo hatujamuona wala kumsikia
Miaka ya 87 hiyo alindokaga
Ova
Hapo anaondoka na mguu kiulaini tu coz miguu kuna mida inakua inagusa maji.Hivi papa asingeweza kuwadonoa hapo?
Kaacha...sahv mkubwa tuDah inauma sana, enzi hizo kuzamia ndo dili, Vip hakuacha watoto?
Hiyo route noma ilikuwadah alirisk sana, bora zama zile angecheza kamari kwa kuchukua mtemba bandarini hapo au Mozambique au Durban.
Dah kukatiza hiyo chocho ya Sudan ukaibukie Misri ni hatari, ni kama sasa watu wanavyokatiza hiyo Chad uingie Libya then ujimwage majini to Italy.
...
Hata kuruka akakuanguashia ndani ya maji so simpleHapo anaondoka na mguu kiulaini tu coz miguu kuna mida inakua inagusa maji.