miss_blossom
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,607
- 2,150
Hizo warts hapo kwa mwanamke zinaweza kutokea hata mdomoni aŭ sehem ya haja kubwaInashambulia sehemu ya siri tu au hata kwa mdomoni kwa wale wanaoonja chumvi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo warts hapo kwa mwanamke zinaweza kutokea hata mdomoni aŭ sehem ya haja kubwaInashambulia sehemu ya siri tu au hata kwa mdomoni kwa wale wanaoonja chumvi??
Sijawah kupata Ila nilishapata elimu juu ya stds so najua zikiwa zinaanza mpka kufikia stage hioWw unaendaga hsptl zikiwa stage gani?!
[emoji23]Hajui ww umeugua haya magonjwa toka serikali ya awamu ya kwnz
Collective kwa Wote samahani kwa lugha hiyo hata mi nnaweza pitia humo huko maana ni maisha yetuShukrani kwa maelezo yaliyotukuka...
Ila hapo red, kwanini unanipa pole?? Kuna mtu alikudanganya mi huwa nafanya ngono zembe??
Pamoja sana kiongozi...Collective kwa Wote samahani kwa lugha hiyo hata mi nnaweza pitia humo huko maana ni maisha yetu
Sijawah kupata Ila nilishapata elimu juu ya stds so najua zikiwa zinaanza mpka kufikia stage hio
Sijawah kupata Ila nilishapata elimu juu ya stds so najua zikiwa zinaanza mpka kufikia stage hio
Ohoooo!!![emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]Na enzi hizo ukiugua ulikuwa unatamba kitaa... kwamba wewe ni kitombi.
Siku hizi watu wanaona aibu kukutwa na haya magonjwa ya kujilipua kishujaa... Hahahaha LOL
Ohooooo!!![emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]Hizo warts hapo kwa mwanamke zinaweza kutokea hata mdomoni aŭ sehem ya haja kubwa
Kweli kabisa.Chamuhimu nikubaki njia kuu michepuko cyo dili
Hoyeeeee.Chaputa hoyee
Hiyo ni viral infection. Inasababishwa na Human Papilloma Virus type 6 and 11.hiyo k huo ugonjwa unaitwa genital wats ni matokeo ya fungus na uti sugu inatibika wahi hosp mapema..... pole