mdetichia
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 5,292
- 2,170
Na kwa kifupi ukitumia choo cha kukaa ambacho anakitumia huyo mgonjwa lazima ukupate hata yale maji maji yake akikuingia tu ni sooHuu ugonjwa unaitwa Genital Warts ugonjwa huu huambukizwa na Virus ambao uitwa Papinomavirus