Picha zinatisha: Maasai watwangana na jamii ya Kipsigis Narok nchini Kenya, wanne wapoteza maisha

Haya sio yakufurahia hata kidogo tatizo linaletwa na serikali haiangalii migogoro kama hii kwa jicho la tatu unaweza kukuta pengine hili jambo wamelipeka kwenye mamlaka husika wao wakafanya mzaha matokeo ndo haya dah so sad Allah awaponye majeraha yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili suala ni siasa kama unafuatilia siasa za Kenya utajua aina ya siasa za Wakalenjin zinaenda vp! Inahusiana na mpasuko ndani ya Jubilee kati ya Ruto na Uhuru!

 
Kurudisha heshima wapewe bunduki kila mmoja! Wataheshimiana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…