Picha zinatisha: Maasai watwangana na jamii ya Kipsigis Narok nchini Kenya, wanne wapoteza maisha

Picha zinatisha: Maasai watwangana na jamii ya Kipsigis Narok nchini Kenya, wanne wapoteza maisha

Haya sio yakufurahia hata kidogo tatizo linaletwa na serikali haiangalii migogoro kama hii kwa jicho la tatu unaweza kukuta pengine hili jambo wamelipeka kwenye mamlaka husika wao wakafanya mzaha matokeo ndo haya dah so sad Allah awaponye majeraha yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili suala ni siasa kama unafuatilia siasa za Kenya utajua aina ya siasa za Wakalenjin zinaenda vp! Inahusiana na mpasuko ndani ya Jubilee kati ya Ruto na Uhuru!

Kurudisha heshima wapewe bunduki kila mmoja! Wataheshimiana!
 
Haya matukio kwenu ni kawaida, ebu huyu Mtanzania kafumwa mshale mdomoni kule Morogoro

15726281_355753478125814_4331334578986265441_n.jpg
a
 
Back
Top Bottom