Alpaslan Bey
Senior Member
- Nov 4, 2023
- 121
- 163
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha Nini au Unasahau kuwa Zitto aliwahi kuwa CHADEMAUkifuatilia hizi picha kwa umakini unaweza kuona mambo mengi ambayo yanaweza kutokea hapo baadae
Hapana ila nikirejea kauli ya Zitto baada ya kwenda Belgium kumjulia hali mh Lissu utajifunza kama kuna uwezekano siku si nyingi wakaungana na kuwa kitu kimoja. Siasa hazina urafiki wala uadui wa kudumuUnamaanisha Mbowe hajawahi kupiga picha na Zitto wala na Maalim Sefu!?
Inawezekana hapo baadae tukaja kurejelea pia kusema Lissu aliwahi kuwa CHADEMAUnamaanisha Nini au Unasahau kuwa Zitto aliwahi kuwa CHADEMA
Kuna wakati ni furaha kuona nyumba ya jirani ikiunguaNew member msalimie Lucas Mwashambwa meneja kampeni hapo Machame
Halafu hawana akili, sawa na mwenyekiti wao anayeng'ang'ania madaraka!!.Uhuni wa vijana wa Mbowe
Halafu wala hauwasaidiiUhuni wa vijana wa Mbowe
Siasa ni kuaminiana 50% na kuto 50%Ukifuatilia hizi picha kwa umakini unaweza kuona mambo mengi ambayo yanaweza kutokea hapo baadae
Wanaua upinzaniHalafu wala hauwasaidii
Hapana. Wanaiua saccos tu, upinzani hawawawezi kuuwa maana uko mioyoni mwa watu.Wanaua upinzani
Kwa hiyo mentality sio bure Afrika limekuwa Bara la Uchawi mateso njaa nk.Kuna wakati ni furaha kuona nyumba ya jirani ikiungua
Wazanzibari sio watu wa kuwaamini sana. Pia ujue hizi ni siasa na zinabadilika kila wakatiLisu akienda ACT na akawa mwenyekiti watapata wabunge kadhaa wakati huo huo watapoteza wabunge wa Zanzibar waliko na wafuasi wengi kwakuwa wazanzibar hawamtaki Lisu kwakuwa anamshambulia sana dada yao so ACT watachagua kusuka au kunyoa
CCM mnafanya nini CDM?Halafu hawana akili, sawa na mwenyekiti wao anayeng'ang'ania madaraka!!.