Picha zinazotafakarisha kuelekea uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA ngazi ya taifa

Picha zinazotafakarisha kuelekea uchaguzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA ngazi ya taifa

Alpaslan Bey

Senior Member
Joined
Nov 4, 2023
Posts
121
Reaction score
163
Ukifuatilia hizi picha kwa umakini unaweza kuona mambo mengi ambayo yanaweza kutokea hapo baadae
 
Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    46.6 KB · Views: 4
  • images.jpeg
    images.jpeg
    25.1 KB · Views: 2
  • TUNDU LISSUA.jpg
    TUNDU LISSUA.jpg
    162.9 KB · Views: 5
  • 20241224_172008.jpg
    20241224_172008.jpg
    97.6 KB · Views: 4
Lisu akienda ACT na akawa mwenyekiti watapata wabunge kadhaa wakati huo huo watapoteza wabunge wa Zanzibar waliko na wafuasi wengi kwakuwa wazanzibar hawamtaki Lisu kwakuwa anamshambulia sana dada yao so ACT watachagua kusuka au kunyoa
 
Mbowe kaishiwa mbinu mpk kaamua kuokoteza vijana wasiokuwa na maarifa wamfanyie kampeni??
 
Lisu akienda ACT na akawa mwenyekiti watapata wabunge kadhaa wakati huo huo watapoteza wabunge wa Zanzibar waliko na wafuasi wengi kwakuwa wazanzibar hawamtaki Lisu kwakuwa anamshambulia sana dada yao so ACT watachagua kusuka au kunyoa
Wazanzibari sio watu wa kuwaamini sana. Pia ujue hizi ni siasa na zinabadilika kila wakati
 
Back
Top Bottom