Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Relax, hata ya mke wa Trump imo humu na Trump mwenyewe kachangia na kusifia sanaKuna watu wanawalaumu hakina Gekul au maafande ambao wanawatia adabu wajuaji wanaowafuata wenza wao.
Yaani we unaona sawa kumuanika mke wa mtu na kujitapa dhamira zako kwake.
Ndio maana wengine uwa atueleweki tunapounga mkono hasira za hakina Gekul au maafande.
Una post kabisa picha ya mke wa mtu; halafu unadhani ni sahihi kumjadili kama mwanamke fulani cheap.
Mumewe akujue, akuache salama.
Kiwango cha ujinga wa watu wa chit-chat is beyond me.
Mnamazoea ya aina yenu siyo ya kila mwanaume. Sasa ngoja mwenyewe akujue.
Watu wa chit-chat msipende mazoea na watu na kuchukulia vitu poa.
Una post kabisa picha ya mke wa mtu na kumwanika mke wake kama vile poa tu.
Mtume yupi?Hakika , Rangi ya mtume ndo hii from Dubai
Hapa hatumzungumzii, Abdul; isipokuwa kuongelea wake za watu na kuwadhalilisha.Unaweza kuwa na means za kumuumiza ABDUL? Watu wanajiamini kwakuwa wanajijua wao ni kina nani
Umesoma comments zote humu, mfano huyu angekuwa mke wako kaandikwa hivyo, taahira wa post #2 ungemfanya nini ukimpata wa ujinga alioandika.Relax, hata ya mke wa Trump imo humu na Trump mwenyewe kachangia na kusifia sana
Ila nimeamini Dunia hii unaweza singiziwa kitu aiseeHuyu na yule wa awali aliyemkimbia kisa Hana pesa nani mkali
Ameoa kabisa achana na huyo anaeandika upuuziHapo sawa, maana sitaki kuamini huyu manzi ndiyo aliyeanza naye maisha huko kwao Ileje
Kwann uandike kitu ambacho hukijui,au huna uhakika au umesikia vijiweni?aisee ila wabongoHajaoa anajipigia tu na kupunguza upwiru, si unajua ukisharudi kiwatapeli wajinga lazima upate sehemu ya kusuuza rungu kidogo ndio hapo rungu linasuuzwagwa
Sasa lile fundisho kwamba wakristohakuna kuachana kanisani kwa Mwamposa lipo kweli? Au pale wame modify mafundisho wamekopa kwenye Quran aya ya kuachana ili nao wapate fursa ya kusahihisha makosa?Ameoa kabisa achana na huyo anaeandika upuuzi
Lkn huyu ni WA pili baada ya ndoa ya kwanza kuvunjika
Wa kwanza mrembo zaidi huyu na make up zimechangia wa awali very natural, ila inaonekana anapenda rangi na WA awali mweupeAnajua kuchagua🤔
Jasu implantedPichani ni Mke wa Mtume Bulldozer Mwamposa, mama wa madhabahu ya Inuka Uangaze 👀
Nadhani wale mliokuwa mnamuulizia mama yenu wa kiroho mmemuona.
View attachment 3399841
Tabia,matamanio ya mtu hayabadirisha neno la MunguSasa lile fundisho kwamba wakristohakuna kuachana kanisani kwa Mwamposa lipo kweli? Au pale wame modify mafundisho wamekopa kwenye Quran aya ya kuachana ili nao wapate fursa ya kusahihisha makosa?
Hayo matamanio yenu sawa, swali ina maana hapo kwa Mwamposa hilo fundisho la kwamba ukiacha mke ukaoa mwingine unazini halipo.Tabia,matamanio ya mtu hayabadirisha neno la Mungu
Kwahiyo hiyo ni yeye ,atajua na Mungu wake
Kiukweli wengi tu hawajaitii hii amri
Kam Mke alimkimbia ulitaka afanyaje aendelee kukaa miaka nenda rudia single?Sasa lile fundisho kwamba wakristohakuna kuachana kanisani kwa Mwamposa lipo kweli? Au pale wame modify mafundisho wamekopa kwenye Quran aya ya kuachana ili nao wapate fursa ya kusahihisha makosa?
AiseeWa kwanza mrembo zaidi huyu na make up zimechangia wa awali very natural, ila inaonekana anapenda rangi na WA awali mweupe
Una udhibitisho wa cheti Cha ndoa alikuonesha huy tapeli kua huyo kwenye picha ni mkewe halali wa ndoa ..Tushukuru hizi anonymity za JF.
Dharau zaidi sio tu kumuongelea mke wa mtu ni namna baadhi ya watu wanavyo mchukulia mke wa mtu changudoa fulani.
Mmh, haya hiyo ndio kauli yangu.
Wasia wangu kuna watu hawajui mzaha, hasa kama wana means za kukuumiza.
Watanzania tusipende mazoea ya mzaha na kila mtu.
JF ina members wengi si kila mtu mchangiaji wa kila jukwaa wana sababu zao.
Sasa wewe chukulia wake za watu poa
Kama sikosei, kijana alimaliza chuo mwaka juziPichani ni Mke wa Mtume Bulldozer Mwamposa, mama wa madhabahu ya Inuka Uangaze 👀
Nadhani wale mliokuwa mnamuulizia mama yenu wa kiroho mmemuona.
View attachment 3399841
Hujanieiewa,soma Tena mkuuHayo matamanio yenu sawa, swali ina maana hapo kwa Mwamposa hilo fundisho la kwamba ukiacha mke ukaoa mwingine unazini halipo.