Piga kura, kati ya Simba na Yanga nani ana mashabiki wengi?

Piga kura, kati ya Simba na Yanga nani ana mashabiki wengi?

Simba au Yanga

  • Simba

    Votes: 65 52.0%
  • Yanga

    Votes: 60 48.0%

  • Total voters
    125
  • Poll closed .
Piga kura hapa ili tumalize huu utata.Humu jukwaani timu gani ina mashabiki wengi kati ya Simba (Wenye nchi) na Young Africans/Yanga (Wananchi).

Usipoteze kura yako
Sisi ndo Yangaaaa ooooopps Sisi ndo Simbaaa
 
Mikia mnashida sana kutwa kujipambanisha nayanga haya sasa mmeamua kujiita wenye nchi kisa yanga mwananchi
 
wekeni mambo wazi zaidi kuna watu wanalaumu marefa,tff na body ya ligi msije mkaongezwa kwenye lawama kwa kuanzisha hii kura.
 
Back
Top Bottom