Piga kura, kati ya Simba na Yanga nani ana mashabiki wengi?

Piga kura, kati ya Simba na Yanga nani ana mashabiki wengi?

Simba au Yanga

  • Simba

    Votes: 65 52.0%
  • Yanga

    Votes: 60 48.0%

  • Total voters
    125
  • Poll closed .
Sisi mashabiki wa nyuma mwiko, marefa wote Tff, tupo wengi kuliko wa mnyama mkali
 
Bado siku nne dirisha la kupigia kura lifungwe.Piga kura yako mapema.
 
Hivi wewe kama simba mungu akupe nini
Nakumbuka comeback ya nkana
Nakumbuka mechi ya platinum
Nakumbuka mechi ya al Ahly zote mbili Taifa
Nakumbuka 4_1 vs chura
Lakini
Mechi ya As Vita ndo naipenda zaidi
Ile Haruna Niyonzima anaacha pasi Chama anafunga goli maridadi kabisa😁😁😁
 
Piga kura hapa ili tumalize huu utata humu jukwaani, timu gani ina mashabiki wengi kati ya Simba (Wenye nchi) na Young Africans/Yanga (Wananchi)?

Usipoteze kura yako.
wapi tunapiga kura?? poll ipo wapi??
 
Mods Members tumeomba Huu Uzi Uwe Front.

Mbona mmegoma kutusikia????????

Mnaweka Front Nyuzi za Dada Jeni za kipiuuuuzi na kipumbafu...........

Shame
 
Piga kura hapa ili tumalize huu utata humu jukwaani, timu gani ina mashabiki wengi kati ya Simba (Wenye nchi) na Young Africans/Yanga (Wananchi)?

Usipoteze kura yako.
59ecdf60e1784160611509864c62b363.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom