Piga kura, kati ya Simba na Yanga nani ana mashabiki wengi?

Piga kura, kati ya Simba na Yanga nani ana mashabiki wengi?

Simba au Yanga

  • Simba

    Votes: 65 52.0%
  • Yanga

    Votes: 60 48.0%

  • Total voters
    125
  • Poll closed .
Hivi wewe kama simba mungu akupe nini
Nakumbuka comeback ya nkana
Nakumbuka mechi ya platinum
Nakumbuka mechi ya al Ahly zote mbili Taifa
Nakumbuka 4_1 vs chura
Lakini
Mechi ya As Vita ndo naipenda zaidi
Ile Haruna Niyonzima anaacha pasi Chama anafunga goli maridadi kabisa[emoji16][emoji16][emoji16]
Hakika hii mechi na As vita kuwania robo fainali moja ya mechi bora kabsa ktk maisha yangu ya soka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaona wanaweka Front Nyuzi za Jeni
Anazoziokota Facebook

🧧UMBEA.
😭USHIRIKINA.
🐼Majungu
 
Back
Top Bottom