Real Madrid, jamaa hawatabiriki... Ukicheza nao unasema kabisa hawa nawafunga... ila zikiisha dk 90 ndio unaanza kuwaelewa kumbe walikuwa wanakimbiza mwizi kimyakimya
Madrid kesho atadroo na Bayern kisha atapita kwa Aggregate,
PSG nao leo watadroo na Dortmund kisha Dortmund anapita kwa Aggregate,
Final Madrid vs Dortmund
FT
RM 2
DT 0
Madrid anachukua ndoo.