Piga Kura: Klabu gani itashinda Champions League 2024?

Piga Kura: Klabu gani itashinda Champions League 2024?

Klabu gani itashinda Champions League 2024?


  • Total voters
    118
  • Poll closed .
Aggregate kivipi?si hamna goli la ugenini?draw yoyote ikitokea ni matuta
Madrid kesho atadroo na Bayern kisha atapita kwa Aggregate,
PSG nao leo watadroo na Dortmund kisha Dortmund anapita kwa Aggregate,
Final Madrid vs Dortmund
FT
RM 2
DT 0
Madrid anachukua ndoo.
 
2-1
Madrid mbele
Full Time
Ila nimeoana kama madrid amebebwa vile lile goli la dakika ya mwisho alilofunga bayern sijaona kama kuna offside pale maana ni mchezaji wa madrid ndie aliepiga kichwa kwa lengo la kuokoa kabla mpira haujamkuta mchezaji wa bayern alietoa assist kwa kichwa hata yule jamaa wa bayern alieluka kutaka kuucheza mpira kwa kichwa wakati krosi imepigwa hakuucheza ule mpira ni mendy wa real madrid ndie aliurudisha mpira kwa kichwa wakati wa hekaheka za kutaka kuondoa hatari golini kwake
 
Ila nimeoana kama madrid amebebwa vile lile goli la dakika ya mwisho alilofunga bayern sijaona kama kuna offside pale maana ni mchezaji wa madrid ndie aliepiga kichwa na kumkuta mfungaji hata yule jamaa wa bayern alieluka kutaka kuucheza mpira kwa kichwa hakua offside wakati krosi inapigwa
kama refa alikua anataka kuwabeba angewapa lile Goli la Nacho pia usisahau Refa aliongeza dakika zake mbili za ziada na bado akazidisha
 
Back
Top Bottom