Piga Kura: Klabu gani itashinda Champions League 2024?

Piga Kura: Klabu gani itashinda Champions League 2024?

Klabu gani itashinda Champions League 2024?

  • Total voters
    118
  • Poll closed .
kama refa alikua anataka kuwabeba angekawapa lile Goli la Nacho pia usisahau Refa aliongeza dakika zake mbili za ziada na bado akazidisha
Mkuu ungejadili iyo scenerio niliyoiongelea mimi, kikanuni unawwza kunielewesha kama refa alikua sahihi kukataa lile goli?
Nb: tujadiliane kistaarabu
 
Ndio alikua sahihi sababu Goli limefungwa kweny offiside postion
Naomba uende youtube kuangalia vizuri refa alikosea pale. Mfungaji akua offside na kile kichwa kilichopigwa kumkuta mfungaji kilipigwa na mchezaji wa madrid how comes iwe offside. Kama sio mbeleko basi refa alikosea kupuliza filimbi mapema maana baada ya kupuliza filimbi wachezaji wa madrid walisimama wakijua offside, refa angeacha move iendelee halafu baadae akaangalie kwenye var kama lile goli la pili la joselu sasa baada ya kukosea pale hata kwenda kuangalia kwenye var alishindwa kwa sababu alishapuliza filimbi kitu kilichosababisha wachezaji kusimama
 
ata nikienda youtube hakuna kinachobadilika pia usisahau Goli lilifungwa nje ya mda wa ziada refa aliongeza dakika zake mbili zikawa zimeisha ila bado refa hakumaliza mechi mbona iyo husemi ni mbereko na ilo Goli limefungwa nje wa mda wote wa nyongeza why husemi ni mbereko kwa bayern wew unaona udhaifu kweny Goli mbona huoni kweny mda
 
ata nikienda youtube hakuna kinachobadilika pia usisahau Goli lilifungwa nje ya mda wa ziada
Mkuu hakuna goli linalofungwa nje ya muda wa ziada, hata dakika zikiwa zimeisha kama kuna shambulizi linaloweza kupatikana goli refa hamalizi mpira, refa anamaliza mpira katika mazingira ambayo move imepoa kabisa sasa huo nje wa muda wa ziada unaoongelea wewe ni upi, katika lile goli la bayern lililokataliwa refa alipiga filimbi ya offside immediately baada ya lineman kunyosha bendera kitu ambacho alikosea, lineman akinyosha bendera kuashiria offaide refa wa kati anatakiwa kusubiri kwanza mpaka shambulizi liishe ndo apige filimbi ya offside kama alivyofanya kwenye goli la pili la joselu pamoja na lineman kunyosha bendera refa alisubiri move iishe ndio akapiga filimbi ya offside sasa akishapiga filimbi ya offside endapo ikiwa ni goli halali watu wa var watamsanua ataenda kuangalia kwenye screen kule na kuweka mpira kati, ukisikia filimbi ya refa maana yake mchezo unatakiwa kusimama sasa refa akipiga filimbi ya offside mapema na wachezaji wakasimamisha mchezo maana yake hata akienda kucheki kwenye VAR ikaonesha ni goli halali hatoweza kuruhusu kwa sababu alisimamisha mchezo kwa maana iyo refa anatakiwa kusubiri kwanza shambulizi liishe ndio apige dilimbi ya offside
refa aliongeza dakika zake mbili zikawa zimeisha ila bado refa hakumaliza mechi
Baada ya izo dakika mbili kuna matukio mengine yalitokea kwa maana iyo yanafidiwa haukuona wakina rudiger walivyokua wana-fake kuumia? haukuona valangati kule kwenye benchi la bayern mpaka makocha wakapewa kadi? Sasa muda unaopotea hapo unatakiwa kufidiwa kwaiyo hazitakua dakika mbili tena, ukiona zimeongezwa dakika 2,3,4 n.k haimaniishi zikiisha izo na refa anamaliza mchezo immediately kama kuna tukio lililosimamisha mchezo ndani ya izo izo dakika za nyongeza maana yake muda ambao mchezo ulismama utaongezwa kwenye izo dakika za nyongeza vile vile refa hawezi kumaliza mchezo katika mazingira yoyote kama kuna shambulizi ambalo linaweza kupatikana goli refa atasubiri kwanza mpaka move ipoe kabisa hata kama dakika za nyongeza zimeisha
 
mbona iyo husemi ni mbereko na ilo Goli limefungwa nje wa mda wote wa nyongeza why husemi ni mbereko kwa bayern wew unaona udhaifu kweny Goli mbona huoni kweny mda
Scenerio zote unazoziongelea refa alikua sahihi kabisa na nimekufafanulia uko juu lakini wewe ujanifafanulia ni kivipi goli la bayern lilikataliwa, weka ushabiki pembeni toa ufafanuzi wa kitaalamu achana na hoja yako ya kutumia kosa kuhalalisha kosa
 
Ila nimeoana kama madrid amebebwa vile lile goli la dakika ya mwisho alilofunga bayern sijaona kama kuna offside pale maana ni mchezaji wa madrid ndie aliepiga kichwa kwa lengo la kuokoa kabla mpira haujamkuta mchezaji wa bayern alietoa assist kwa kichwa hata yule jamaa wa bayern alieluka kutaka kuucheza mpira kwa kichwa wakati krosi imepigwa hakuucheza ule mpira ni mendy wa real madrid ndie aliurudisha mpira kwa kichwa wakati wa hekaheka za kutaka kuondoa hatari golini kwake
Hajabebwa, refa anapuliza filimbi ya offside ikiwa ana uhakika ni offside.
Huwa wanaacha moves ziendelee ili waje kuthibitisha baadae kama offside ina utata.
Ila kama haina utata na riseman amejiridhisha ni offside chap kibendera kinapanda, refa wa kati anapuliza kipyenga.

Goli la Dortmund lilifungwa wakati tayari kipyenga kimepulizwa, hata kipa wa Madrid alikua kasimama tu anawashangaa Dortmund wakiendelea kujipiga vyenga wakati filimbi ya offside ishapulizwa.
 
hakika matokeo ya jana yamenifanya niamini ule usemi usemao kuwa "mwenyenacho huongezewa" ila basi2 Acha iendelee kunyesha
 
Scenerio zote unazoziongelea refa alikua sahihi kabisa na nimekufafanulia uko juu lakini wewe ujanifafanulia ni kivipi goli la bayern lilikataliwa, weka ushabiki pembeni toa ufafanuzi wa kitaalamu achana na hoja yako ya kutumia kosa kuhalalisha kosa
wew unakichwa kigumu sana unachofanunua nin sasa wakati refa kasema offiside na Goli limekataliwa unataka tubishane kama watoto wa Shule
 
Scenerio zote unazoziongelea refa alikua sahihi kabisa na nimekufafanulia uko juu lakini wewe ujanifafanulia ni kivipi goli la bayern lilikataliwa, weka ushabiki pembeni toa ufafanuzi wa kitaalamu achana na hoja yako ya kutumia kosa kuhalalisha kosa
sina mda wa kubishana na kitu ambacho hakiwezi kubadili uhalisia wa kilichotokea jana hakuna wa kubadili maamuzi ata kama tukiandika insha za page 100 ni kazi Bure unazungumzia utalamu wew una utalamu Gani kumzidi Refa aliyechezesha mechi ya jana Refa kasema offiside wew unataka kuaza kufanunuliwa haupo sawa wew afu kwanin unajisaulisha kwamba mpigaji alipiga mpira wakati tayari kibendera alikua amenyosha mkono juu kuwa ni offiside na ndio maana kipa alisimama tu hakutaka kuangaika na kitu chochote alikua tayari kaona kibendera kimenyoshwa Rudi kangalie mechi ya PSG na Dotmund ucheki Goli kama lile lilokataliwa unaweza kupata kitu maana inaonesha wew unaujaji mwingi afu hutazami Mechi vizuri kwa kusaidia mpira kuingia wavuni haimanishi Ni Goli
 
Back
Top Bottom