Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Sawa, asante kwa reply yako.sina mda wa kubishana na kitu ambacho hakiwezi kubadili uhalisia wa kilichotokea jana hakuna wa kubadili maamuzi ata kama tukiandika insha za page 100 ni kazi Bure unazungumzia utalamu wew una utalamu Gani kumzidi Refa aliyechezesha mechi ya jana Refa kasema offiside wew unataka kuaza kufanunuliwa haupo sawa wew afu kwanin unajisaulisha kwamba mpigaji alipiga mpira wakati tayari kibendera alikua amenyosha mkono juu kuwa ni offiside na ndio maana kipa alisimama tu hakutaka kuangaika na kitu chochote alikua tayari kaona kibendera kimenyoshwa Rudi kangalie mechi ya PSG na Dotmund ucheki Goli kama lile lilokataliwa unaweza kupata kitu maana inaonesha wew unaujaji mwingi afu hutazami Mechi vizuri kwa kusaidia mpira kuingia wavuni haimanishi Ni Goli