Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Mechi dhidi ya Belouzdad tulikua na wapinzani wawili wakubwa ndani na nje ya uwanja. Kwahiyo haikua mechi ya kitoto tena kushinda kwa goli zote zile sio mchezo. Ndio mechi yangu bora kwa msimu huu