Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 14,938 Reaction score 25,405 Jun 14, 2024 #21 Mechi dhidi ya Belouzdad tulikua na wapinzani wawili wakubwa ndani na nje ya uwanja. Kwahiyo haikua mechi ya kitoto tena kushinda kwa goli zote zile sio mchezo. Ndio mechi yangu bora kwa msimu huu
Mechi dhidi ya Belouzdad tulikua na wapinzani wawili wakubwa ndani na nje ya uwanja. Kwahiyo haikua mechi ya kitoto tena kushinda kwa goli zote zile sio mchezo. Ndio mechi yangu bora kwa msimu huu
changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,039 Reaction score 10,151 Jun 14, 2024 #22 Carasco Putin said: Mm YANGA damu ila mechi ya ihefu 2 yanga 1 ilinikosha Sana Click to expand... UBUTHU BOTHO mmepanganyika
Carasco Putin said: Mm YANGA damu ila mechi ya ihefu 2 yanga 1 ilinikosha Sana Click to expand... UBUTHU BOTHO mmepanganyika