Piga Kura: Nani atashinda Europa League Final leo? Atalanta au Leverkusen?

Piga Kura: Nani atashinda Europa League Final leo? Atalanta au Leverkusen?

Klabu gani itashinda Europa League Finali leo?

  • Total voters
    62
  • Poll closed .
Joined
Dec 29, 2021
Posts
54
Reaction score
89
BAYER 04 LEVERKUSEN
1716355623108.png

VS

1716355642406.png

ATALANTA BC

Mabingwa wa bundesliga bayer leverkusen kumenyana na atalanta fainali ya ligi ya europa.

Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Europa League Finali leo na kwa nini?
 
Liverpool angekutana na Bayer Leverkusen asingechomoka jino moja.
Leverkusen msimu huu ina performance ya kushindana na timu yeyote ile.
Bayern munich yenyewe inasanda kwa Leverkusen.
Na kama Leverkusen ingeingia UCL msimu huu balaa lingetokea.
Ni kweli, lakini nadhani Leverkusen wanahitaji Overtime ndefu tena. Bila Overtime itakuwa kigumu zaidi 😂
 
Yani mkuu hizo timu ulizoleta unazifananisha na Atalanta kweli?
Are you serious!?
Basi sawa,unataka kunambia MECHI ZOTE ALIZOSHINDA LEVERKUSEN KASHINDA KWA ADDITIONAL MINUTES!?
Chukua uwiano wa mechi ulizoleta na mechi alizoshinda ndani ya uwanja ndani ya 90 minutes plain je zinawiana!?
Mkuu samahani ila hii hoja yako mfu na butu.
 
tulia kaka, sijasema hawatashinda leo. Nimesema tu wamepata bahati nzuri mara kwa mara. Kwa mfano mechi wameshinda na Qarabag, wamepata bahati nzuri sana.
 
Back
Top Bottom