Piga Kura: Nani atashinda Europa League Final leo? Atalanta au Leverkusen?

Piga Kura: Nani atashinda Europa League Final leo? Atalanta au Leverkusen?

Klabu gani itashinda Europa League Finali leo?

  • Total voters
    62
  • Poll closed .
Tena hapo kura zimepungua kwavile wengine wamepiga baada ya kuona Atalanta anaongoza, kuna muda niliangalia matokeo nikakuta Leverkusen ana kura 80+ na hiyo inaashiria ni namna gani watu wa kubet wengi watakuwa wamepigwa za uso.
Naunga mkono hoja
 
Ni kweli haha 😂 Nimefanya edits sasa, haiwezekani kubadilisha votes tena. Kabla ya game imeanza jana watu wawili wamechagua Leverkusen tu 😂😂
 
Leverkusen SIO wa kufungwa na Atalanta Goli 3 kwa Sifuri
Basi mkuu wewe ni miongoni mwa watu wasioupa heshima mchezo wa mpira wa miguu. Hakuna timu isiyofungika duniani. Mpira ni mbinu na ufundi, na makosa. Unadhani Leverkusen na huyo Alonso hawakutaka kupata sifa ya mataji? Ela zinatumika zinaisha, ila mataji ni kuongeza profile ya timu, CV ya kocha kupanda na pia ni kumbukumbu ya milele.
 
Alonzo Amelia sana Jana tamaa mbaya
 
Hii noma Xavi Alonzo Amelia sana maana Dunia nzima ilimwamini muhindi akamwamini zaidi kauza gemu shenzi kabisa
😳😳😳😳Kauza mechi? Wabongo bwana kwa ujuaji tumebarikiwa. Matokeo yakienda vile msivyotaraji hamtaki kumsifu timu pinzani bali ni mihemko ya kihisia tu.
 
Alonzo Amelia sana Jana tamaa mbaya
Sasa kama ingekuwa kauza, alikuwa na sababu gani ya kulia sana. Tumia akili basi kuchanganua mambo. Ndio shida ya kuidharau Atalanta wakati Liverpool anawajua vizuri tu
 
Alonzo Amelia sana Jana tamaa mbaya
Mkuu nimegundua una hasira ya mkeka kuchanika ndio maana akili yako imelala tu kwenye kuuza mechi. Alonso ni kocha anayetaka kuipamba CV yake kwa udi na uvumba na alikuwa analisaka taji lake la kimataifa kwa mara ya kwanza na pia alikuwa anataka kuendeleza record yake ya unbeaten. Kilichotokea jana kimemuuma sana. Na inawezekana hakutegemea kukutana na ile surprise ile kutoka kwa waitaliano
 
Kilichotokea jana kimemuuma sana. Na inawezekana hakutegemea kukutana na ile surprise ile kutoka kwa waitaliano
Sure Alonzo Amelia sana maana tamaa zimemponza huwezi kuuza game km Ile kizembe namna Ile kuna game nilikua nasema kabisa hii Leverkusen hatoboi anaenda kunionyesha maajabu mpaka nashikwa na bumbuwazi Jana nimekaa Mguu juu najua kabisa Atalanta anaenda kutoboka sababu naijua Atalanta ni Sawa uikutanishe Yanga na Prisons unajua kabisa nani anaenda kushinda hapa
 
Back
Top Bottom