Wanaosema sijui mechi imeuzwa au fixed tuwaache Haina haja ya kubishana nao bila shaka ni pesa walizobetia au ilizobidi wale ndo zinawauma maana wameingia na matokeo Yao mfukoni. Mtu anasema kabisa Kwa kujiamin ety timu flani haiwezekan kabisa kuifunga timu flani😂 akili za betting bhn daaah ko sasa hio mechi isingechezwa basi kama Atalanta hawez kumfunga Leverkusen sa sijui Atalanta hawana miguuu😂 kwamba hawawez kupasiana na kufunga 😂😂😂 dahh betting zinaua watu jmn sio poa. Duniani Kuna timu Bora ndio na zinapocheza na timu zenye ubora wa chini basi timu yenye nguvu inauwezekano mkubwa wa kushinda mechi na uwezekano hupimwa Kwa asilimia , na hakuna timu duniani yenye 100% ya kushinda mechi. Hyo haipo kamwe utakuta ata kma ikiwa na 99% za kushinda BDO hyo 1% ya kufungwa inaeza kutokea. Mim mwnyw mbona huwa nabeti sana tu high stake na nnaliwa fresh tu basi nakausha najua n matokeo ya mpira tu basi