Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Haya maneno tumeyazoea maana hata wakati wa mradi wa gas tuliimbiwa mapambio kama hayaHuummradi kiuchumi ni game changer.
Umeme rahisi utapunguza sana gharama za uzalishaji na hata kimaisha kwa matumizi ya nyumbani.
Kukamilika ni lazima, halafu siyo ombi, nipe like!Mbona kama hamjiamini tena, au ndio kutuandaa kisaikolojia pale ambapo hautakamilika
Wanao ndio wataelewa maana hasa ya mada hii!Mnapenda kusifiwa na wanadamu,mmemzoesha tabia mbaya.
We fala, nani aliyekuambia ili kujenga miradi mkakati laza uwatese wananchi wako?Wanao ndio wataelewa maana hasa ya mada hii!
Sasa hivi ni kufunga mkanda.
nani kawaambia kuwa hautakamilika? tuwekee ushahidi hapaKukamilika ni lazima, halafu siyo ombi, nipe like!
Miaka 10 ijayo hiyo project itaonekana ni jambo dogo sana . tutakapokuwa na matumizi ya 10,000 MW unadhani 2115MW za sriegler's itakuwa a novice project. Future yetu IPO kwenye renewables kama solar na Wind kama dunia inavyoelekea . Stiegler ni ka project kadogo mno tukifika uchumi nzuri. In the near future tutalazimika kugeukia gas ( 5 years) ni mbali kabla hatujageukia kinyerezi phase 3 na 4. Labda tungekuwa na potential kama Congo yenye 35000 MW ndio tungejidai. Lakini kwa sasa , ni uchumi dhafu ndio unafanya stiegler ionekane ni giant project. Hata hivyo tukikamjlsha stiegler tutapumua kwa miaka michache tufikirie zaidi ya hapo.Kukamilika ni lazima, halafu siyo ombi, nipe like!
Acha hizo.Miaka 10 ijayo hiyo project itaonekana ni jambo dogo sana . tutakapokuwa na matumizi ya 10,000 MW unadhani 2115MW za sriegler's itakuwa a novice project. Future yetu IPO kwenye renewables kama solar na Wind kama dunia inavyoelekea . Stiegler ni ka project kadogo mno tukifika uchumi nzuri. In the near future tutalazimika kugeukia gas ( 5 years) ni mbali kabla hatujageukia kinyerezi phase 3 na 4. Labda tungekuwa na potential kama Congo yenye 35000 MW ndio tungejidai. Lakini kwa sasa , ni uchumi dhafu ndio unafanya stiegler ionekane ni giant project. Hata hivyo tukikamjlsha stiegler tutapumua kwa miaka michache tufikirie zaidi ya hapo.
Roho mzuri inaweza hata kufanya yasiyowezekana.Bavicha wanafikiri roho zao mbaya zitafanya mipango isiendelee
HahahaaaaWe fala, nani aliyekuambia ili kujenga miradi mkakati laza uwatese wananchi wako?