Piga ua, mradi wa JKN Power Plant (Stiegler's Gorge) lazima ukamilike

Piga ua, mradi wa JKN Power Plant (Stiegler's Gorge) lazima ukamilike

Mwenyezi Mungu Angetujaalia Roho Ngumu Kama Waarabu Tungeheshimiana
 
Binadamu tuna maneno sana. Lakini kati ya vitu vyote, Magufuli atakumbukwa kwa vizazi vingi vikavyo kwa kutekeleza mradi wa Umeme wa JK Nyerere Power plant kule Stieglers Gorge.

Huu mradi kiuchumi ni game changer.

Umeme rahisi utapunguza sana gharama za uzalishaji na hata kimaisha kwa matumizi ya nyumbani.

Kwa hili, kongole kwa President. Magufuli.
Nini kinaendelea kwenye huu mradi? Maana Waziri wa Nishati ni kama hana habari nao kabisa
 
Back
Top Bottom