Mnyatiaji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2018
- 3,728
- 4,817
Tupe picha mradi ulipofikiaBinadamu tuna maneno sana.
Lakini kati ya vitu vyote
Magufuli atakumbukwa kwa vizazi vingi vikavyo kwa kutekeleza mradi wa Umeme wa JK Nyerere Power plant kule Stieglers Gorge.
Huu mradi kiuchumi ni game changer.
Umeme rahisi utapunguza sana gharama za uzalishaji na hata kimaisha kwa matumizi ya nyumbani.
Kwa hili, kongole kwa Prez. Magufuli.