Tupe picha mradi ulipofikiaBinadamu tuna maneno sana.
Lakini kati ya vitu vyote
Magufuli atakumbukwa kwa vizazi vingi vikavyo kwa kutekeleza mradi wa Umeme wa JK Nyerere Power plant kule Stieglers Gorge.
Huu mradi kiuchumi ni game changer.
Umeme rahisi utapunguza sana gharama za uzalishaji na hata kimaisha kwa matumizi ya nyumbani.
Kwa hili, kongole kwa Prez. Magufuli.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata fly over tuliambiw zitapunguza gharama za maisha.
Waaap!!!
Utaambiwa ni gas ya kimkakati.Ule uchumi wa gas umeishia wapi? Au haukuwa mbadili mchezo?
Katika umri wako,kipi ulichoshuhudia katika maisha yako kikipungua,zaidi ya kila siku galama za maisha zikipanda,kama maji tu yamekuwa gharama kubwa wakati tumebarikiwa mito na maziwa chungu nzimaBinadamu tuna maneno sana.
Lakini kati ya vitu vyote
Magufuli atakumbukwa kwa vizazi vingi vikavyo kwa kutekeleza mradi wa Umeme wa JK Nyerere Power plant kule Stieglers Gorge.
Huu mradi kiuchumi ni game changer.
Umeme rahisi utapunguza sana gharama za uzalishaji na hata kimaisha kwa matumizi ya nyumbani.
Kwa hili, kongole kwa Prez. Magufuli.
Mkuu ukona maji gharama , chimba kisima chako!Katika umri wako,kipi ulichoshuhudia katika maisha yako kikipungua,zaidi ya kila siku galama za maisha zikipanda,kama maji tu yamekuwa gharama kubwa wakati tumebarikiwa mito na maziwa chungu nzima
Binadamu tuna maneno sana. Lakini kati ya vitu vyote, Magufuli atakumbukwa kwa vizazi vingi vikavyo kwa kutekeleza mradi wa Umeme wa JK Nyerere Power plant kule Stieglers Gorge.
Huu mradi kiuchumi ni game changer.
Umeme rahisi utapunguza sana gharama za uzalishaji na hata kimaisha kwa matumizi ya nyumbani.
Kwa hili, kongole kwa Prez. Magufuli.
Unajua garama ya kuchimba visima tena ukiwa mikoa ya nyanda za juu,au kazi ya selikali maana yake nini?Mkuu ukona maji gharama , chimba kisima chako!
Tatizo watu hatujiongezi.
Yes, kama ni gharama ni lazima uelewe kuwa wakati wa uhuru tulikuwa milioi 9 tunaoombaa maji, leo tuko milioni 60.Unajua garama ya kuchimba visima tena ukiwa mikoa ya nyanda za juu,au kazi ya selikali maana yake nini?
Usema kweli Rais JPM amefanya kazi nzuri, ila kawaida ya dunia lazima wawepo na wa kupinga. Ila amekuwa na uthubutu kama kiongozi na ndio inavyotakiwa.
😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛Hahahaaaa
STIGLAZ GEJI
STANDADI GOJI
.......
Mkuu basic principle ya Hydroelectric power projects duniani kote ni heavy investment t project inception na baadaye running costs ni ndogo sana maana inabaki almost maintainance tu.Huwa ninacheka sana nikisikia umeme wa maji utakuwa wa bei rahisi. Kabla ya umeme wa mafuta mazito na gas tulikuwa tunatumia umeme wa maji, mbona haukuwa rahisi? Kama huo mradi wote ni wa mkopo, unajua terms za huo mkopo mpaka useme utakuwa wa bei rahisi? Au Mkuu na ww unaingizwa chaka na hii serikali ya siasa za ulaghai na kiki?
Nakubaliana na wewe juu ya hili na TANESCO inabidi walijibu swali hili.Jana kuna uzi umeletwa humu kuwa TANESCO watapata mkopo wa AFDB kujenga mradi wa umeme katika mto malagarasi, kama kuna umeme wa 2,115mg iweje tena serikali iingie mkopo wa kuzalisha umeme mwingine? Mkuu toka nje ya box.
Mkuu basic principle ya Hydroelectric power projects duniani kote ni heavy investment t project inception na baadaye running costs ni ndogo sana maana inabaki almost maintainance tu.
Diesel electric power ni ghali sana, si tu kwa maintainance bali fuel, whether ni diesel, HDO(heavy diesel oil) au hata gas.
harama za umeme utategemea gharama ya fuel na jinsi ulikoipata.
Gas ingeweza kuwa rahisi, lakini vile vile uchimbaji wake ,usafirishaji ni kizungumkuti.
Nakubaliana na wewe juu ya hili na TANESCO inabidi walijibu swali hili.
2115MW kwa kiwango chochote ni umeme mkubwa kwa sasa na hata miaka pengine 20 ijayo.
Sasa hivi installed power capacity ni around 1300-1600MW ingawaje demand iko juu.
Hivyo basi in two years time installed capacity inweza fika over 3600MW inayoweza tupeleka miaka si chini ya 10 ijayo.
Hata hivyo ukiweka smelter moja tu kwa mfano ya Aluminium smelter, yenyewe peke yako inabeba over 1000MW.
Hivyo ni bora tukawa na capacity kwa huko mbele ya safari.
Sizani kama ni shida kuwa na vyanzo mbali mbali vya umeme. Umeme mwingine nafikiri utauzwa nje ya Tanzania. Nchi kama ina nafasi zaidi si mbaya kuwa na vyanzo mbali mbali vya nishati.Jana kuna uzi umeletwa humu kuwa TANESCO watapata mkopo wa AFDB kujenga mradi wa umeme katika mto malagarasi, kama kuna umeme wa 2,115mg iweje tena serikali iingie mkopo wa kuzalisha umeme mwingine? Mkuu toka nje ya box.
Mkuu biashara ya TANESCO hapo katikati mazonge yake tunayafahamu fika.Mkuu ulichozungumza hapa ni jinsi inavyotakiwa iwe, ila kuna ilivyo. Ndio maana nikasema kabla ya kuanza kutumia umeme wa mafuta mazito, na gas baada ya kisingizio cha mabadiliko ya tabia nchi, tulikuwa tunatumia umeme wa maji, mbona bado hatukuwa na umeme wa bei rahisi kufananisha na nchi kadhaa za East Africa?
Sizani kama ni shida kuwa na vyanzo mbali mbali vya umeme. Umeme mwingine nafikiri utauzwa nje ya Tanzania. Nchi kama ina nafasi zaidi si mbaya kuwa na vyanzo mbali mbali vya nishati.
Mkuu biashara ya TANESCO hapo katikati mazonge yake tunayafahamu fika.
Aggreko nafikiri wamezima, sina uhakika.
Salasala ile 100MW imezimwa.
Hali ni ile ile, ila sasa unaona kukatika umeme kumepungua kiasi.
Hata hivyo hii ni general observation.