FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Nini kinaendelea kwenye huu mradi? Maana Waziri wa Nishati ni kama hana habari nao kabisaBinadamu tuna maneno sana. Lakini kati ya vitu vyote, Magufuli atakumbukwa kwa vizazi vingi vikavyo kwa kutekeleza mradi wa Umeme wa JK Nyerere Power plant kule Stieglers Gorge.
Huu mradi kiuchumi ni game changer.
Umeme rahisi utapunguza sana gharama za uzalishaji na hata kimaisha kwa matumizi ya nyumbani.
Kwa hili, kongole kwa President. Magufuli.
Liko Muheza , linapakwa rangi!Kwanza crane la tani 26 limefika wapi?
Mradi haujawahi kusimama!Nini kinaendelea kwenye huu mradi? Maana Waziri wa Nishati ni kama hana habari nao kabisa
Kwanini hadi leo hawajajaza maji kama ilivyokuwa imepangwa?Mradi haujawahi kusimama!
Kwa sababu Makamba alikuwa hajamaliza kupaka rangi crane la tani 26.Kwanini hadi leo hawajajaza maji kama ilivyokuwa imepangwa?