Pigo kubwa kwa Brics: Saudi Arabia yaistukia Brics, yapanga kuwekeza dola bilioni 600 ndani ya miaka minne nchini Marekani.

Imeloa

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Posts
14,885
Reaction score
18,083
Saudi Arabia ilialikwa kujiunga na BRICS mnamo 2023 lakini Ufalme bado haujatoa uamuzi wa kukubali mwaliko huo. Imezuia uamuzi wa kujiunga na muungano huo kwa kuwa unafanya mikataba ya kibiashara na Marekani. Ufalme wa Saudi Arabia unasita kujiunga na BRICS kwani unahitaji uungwaji mkono wa Marekani na nchi nyingine za Magharibi ili kutimiza azma yake ya Dira ya 2030. Kukomesha utegemezi kwa Marekani kutaathiri tu matarajio yake ya kifedha na kusababisha mdororo wa kiuchumi.

Kwa hiyo, baada ya kusitisha BRICS, Saudi Arabia inapanga kuwekeza dola bilioni 600 nchini Marekani katika kipindi cha miaka minne ijayo. Mwanamfalme Mohammed bin Salman alimwambia Rais wa Marekani Donald Trump kwamba Ufalme unataka kuwekeza kiasi hicho na kupanua biashara. MBS alisema kuwa uwekezaji huo utaleta "ufanisi wa kiuchumi usio na kifani" kwa Saudi Arabia na Marekani.

After Pausing BRICS, Saudi Arabia Invests $600 Billion in the US
 
Lakini akae akijua siku wakikorofishana na marekani au akikataa kutekeleza maslahi ya america hatoipata hio hazina yake atakayo wekeza US wataipiga vikwazo na hato ambulia hata mia.
 
Unaelewa maana ya pause!?
 
Lakini akae akijua siku wakikorofishana na marekani au akikataa kutekeleza maslahi ya america hatoipata hio hazina yake atakayo wekeza US wataipiga vikwazo na hato ambulia hata mia.
Yes ila kwa sasa saudi arabia ,japan na israel zina security guarantees na ni close allies wa marekani na saudi arabia amewekeza investment nyingi sana marekani na hii 600b ni trump amemshawishi mbs na ni mwanae kitambo, so kiukweli kwa nguvu na ushawishi aliyokuwa nayo marekani dollar itaendelea kuwa dominant na ukifurukuta utapigwa kwa kila namna upotee
 
Shida ya watanzania ndio hiyo, uvivu wa kusoma. Usiishie kusoma neno moja kwenye kichwa cha habari soma taarifa yote.
Pro israel na usa wote ndo hawa wanatamani dollar isife ili hali hiyo dollar ndo imetengeeneza matatizo na ukoloni kwa waafrica ndo ujue sasa tanzani kuna vizazi vya laana
 
Saudi Arabia ilialikwa kujiunga na BRICS mnamo 2023 lakini Ufalme bado haujatoa uamuzi wa kukubali mwaliko huo. Imezuia uamuzi wa kujiunga na muungano huo kwa kuwa unafanya mikataba ya kibiashara na Marekani. Ufalme wa Saudi Arabia unasita kujiunga na BRICS kwani unahitaji uungwaji mkono wa Marekani na nchi nyingine za Magharibi ili kutimiza azma yake ya Dira ya 2030. Kukomesha utegemezi kwa Marekani kutaathiri tu matarajio yake ya kifedha na kusababisha mdororo wa kiuchumi.

Kwa hiyo, baada ya kusitisha BRICS, Saudi Arabia inapanga kuwekeza dola bilioni 600 nchini Marekani katika kipindi cha miaka minne ijayo. Mwanamfalme Mohammed bin Salman alimwambia Rais wa Marekani Donald Trump kwamba Ufalme unataka kuwekeza kiasi hicho na kupanua biashara. MBS alisema kuwa uwekezaji huo utaleta "ufanisi wa kiuchumi usio na kifani" kwa Saudi Arabia na Marekani.

After Pausing BRICS, Saudi Arabia Invests $600 Billion in the US
Ww jamaa uwezo wako wa kufikiri uko chini sana pamoja na kujifanya mjuaji.

Aliye kwambia BRICS ipo kwa ajili ya kuzuia wanachama wake kuwekeza au kufanya biashara na nchi nyingine ni nani?
China ndo muanzilishi wa hiyo Brics lakini ndo taifa lenye uwekezaji mkubwa ndani ya taifa la Marekani kuliko hata washirika wa Marekani, ndo mkopeshaji mkubwa wa marekani.
BRICS ipo kwa ajili ya kurahisisha biashara kati ya nchi wanachama na haipo kwa ajili ya kushindana na kuikomoa nchi yeyote acha undina.
 
Huko mtandaoni wanasema habari ya saudi arabia kuwekeza dola bilioni 600 marekani ilikuwa ikishangiliwa na Trump na watu wake kwao ni jambo la kusahangaza maana tumezoea wanashangilia wengine kwa uwekezaji wa Marekani. It seems the table have changed.
 
Metanyahu ndo alienda juzi kuwavuruga kwa kauli za shombo huenda kapeperusha kindege cha trump . Netanyahu alisema kama inapenda kuanzishwa kwa taifa la palestina saudia ina ardhi kubwa sana ya kunzishwa palestina . Na ndo hapo riyadhi nayo ikajibu trump kama usa inaipenda sana israel iwagawie alaska au greenland. Mpaka hapo tiari mahusiano yameshaayumba tiari
 
Huko mtandaoni wanasema habari ya saudi arabia kuwekeza dola bilioni 600 marekani ilikuwa ikishangiliwa na Trump na watu wake kwao ni jambo la kusahangaza maana tumezoea wanashangilia wengine kwa uwekezaji wa Marekani. It seems the table have changed.
Hujaelewa maana yake kwani ni pigo kubwa kwa maadui wa Marekani, unafikiri ni kwa nini hao waarabu hawawekezi Afrika...!!??
 
Ww jamaa uwezo wako wa kufikiri uko chini sana pamoja na kujifanya mjuaji.

Aliye kwambia BRICS ipo kwa ajili ya kuzuia wanachama wake kuwekeza au kufanya biashara na nchi nyingine ni nani?
China ndo muanzilishi wa hiyo Brics lakini ndo taifa lenye uwekezaji mkubwa ndani ya taifa la Marekani kuliko hata washirika wa Marekani, ndo mkopeshaji mkubwa wa marekani.
BRICS ipo kwa ajili ya kurahisisha biashara kati ya nchi wanachama na haipo kwa ajili ya kushindana na kuikomoa nchi yeyote acha undina.
Hiyo sio kweli ni porojo za kwenye vijiwe vya kahawa tu hizo. China haina uwekezaji wowote wa maana nchini Marekani.

Pro israel na usa wote ndo hawa wanatamani dollar isife ili hali hiyo dollar ndo imetengeeneza matatizo na ukoloni kwa waafrica ndo ujue sasa tanzani kuna vizazi vya laana
Huongei kitaalam ila unaongea tu kama mfia dini fulani hivi.
 
Huko mtandaoni wanasema habari ya saudi arabia kuwekeza dola bilioni 600 marekani ilikuwa ikishangiliwa na Trump na watu wake kwao ni jambo la kusahangaza maana tumezoea wanashangilia wengine kwa uwekezaji wa Marekani. It seems the table have changed.
Saudi Arabia sio nchi ya kwanza wala ya mwisho kuwekeza nchini Marekani. Tatizo hamsomi ila mko mnategea kupata stori kutoka kwenye vijiwe vya kahawa na sana siku hizi masjid.🤷🤷🤷

Sijasema ni nchi ya kwanza nimesema wanavyoshangilia huko mtandaoni ndiyo story ilivyokuwa inasemwa.
 
Hujaelewa maana yake kwani ni pigo kubwa kwa maadui wa Marekani, unafikiri ni kwa nini hao waarabu hawawekezi Afrika...!!??
Sasa wawekeze data center africa kwa ajili ya ai kuna ai startup gani ya maana ipi?
 
Back
Top Bottom