Pigo kubwa kwa Brics: Saudi Arabia yaistukia Brics, yapanga kuwekeza dola bilioni 600 ndani ya miaka minne nchini Marekani.

Pigo kubwa kwa Brics: Saudi Arabia yaistukia Brics, yapanga kuwekeza dola bilioni 600 ndani ya miaka minne nchini Marekani.

Wachina million 300 ni vibarua wanaoishi kwenye mabweni yenye hali duni ambapo ni sawa na kutokuwa na makazi tu.
Marekani angekuwa idadi ya watu kama china nadhani wangekuwa wanafika milion 600.
 
Wachina million 300 wanaishi kwenye mabweni wakiwa na maisha ya kutanga tanga tu.
Tupe data acha kutoa kichwani.
Kutafuta furusa ni kutanga tanga?
 
Tatizo la BRICS siyo uwekezaji tatizo lao ni kuikomoa dollars. Kwa Saudia kufanya hivyo imeumia sana kwasababu inaenda kuiboost dollar zaidi.
Kwa hiyo Mangi unafurahia uhuni wa nchi za Magharibi?
Anyway huyo Mwana Mfalme nia yake kubwa ni kulinda ufalme wake na anajua kuingiza Saudi Arabia kwenye BRICS ni kukaribisha fitna za Marekani kwenye utawala wao.
 
Kwa hiyo Mangi unafurahia uhuni wa nchi za Magharibi?
Anyway huyo Mwana Mfalme nia yake kubwa ni kulinda ufalme wake na anajua kuingiza Saudi Arabia kwenye BRICS ni kukaribisha fitna za Marekani kwenye utawala wao.
UAE wapo BRICS+
 
Asante sana brother,kuna wazee wa vijiwe vya kahawa na kashata huku wametupia mtumba wa uchina na tecno ya tochi wanaichukulia poa sana US. Ila hawajiulizi kwanini anawapiga sunction na tariffs hao wenzie?
Na lazima waichukuliw poa US na ulaya sababu hawajawahi miliki bidhaa za huko. Ni sawa na mtu kusema Tecno/Infinix haina tofauti yeyote na Samsung.
 
Saudi Arabia ilialikwa kujiunga na BRICS mnamo 2023 lakini Ufalme bado haujatoa uamuzi wa kukubali mwaliko huo. Imezuia uamuzi wa kujiunga na muungano huo kwa kuwa unafanya mikataba ya kibiashara na Marekani. Ufalme wa Saudi Arabia unasita kujiunga na BRICS kwani unahitaji uungwaji mkono wa Marekani na nchi nyingine za Magharibi ili kutimiza azma yake ya Dira ya 2030. Kukomesha utegemezi kwa Marekani kutaathiri tu matarajio yake ya kifedha na kusababisha mdororo wa kiuchumi.

Kwa hiyo, baada ya kusitisha BRICS, Saudi Arabia inapanga kuwekeza dola bilioni 600 nchini Marekani katika kipindi cha miaka minne ijayo. Mwanamfalme Mohammed bin Salman alimwambia Rais wa Marekani Donald Trump kwamba Ufalme unataka kuwekeza kiasi hicho na kupanua biashara. MBS alisema kuwa uwekezaji huo utaleta "ufanisi wa kiuchumi usio na kifani" kwa Saudi Arabia na Marekani.


After Pausing BRICS, Saudi Arabia Invests $600 Billion in the US
Harafu nyumbu wa 🇹🇿 watakwambia eti Saudia ataleta ugaidi so asiwekeza Bandari ya Bagamoyo 😁😁
 
Hujaelewa maana yake kwani ni pigo kubwa kwa maadui wa Marekani, unafikiri ni kwa nini hao waarabu hawawekezi Afrika...!!??
unawekezaje afrika au brics ambapo mtu mmoja ambaye anaweza asishikwe kende na mkewe usiku vizuri au kinena na mumewake

hasira zote ,akaleta kwa wananchi na kuanza kuvunja mikataba hovyo kisa eti muhimili mmoja umejikita zaidi kwa mingine
 
Nyie watu sijui huu ujinga huwa mnalishwa na nani!! Eti China ndiyo inaongoza kuwekeza USA!! Ujinga huo alikufundisha nani??

Uwekezaji wa China nchini USA ni mdogo sana. Uwekezaji wa China nchini Marekani haufiki hata dola billioni 300.

Which country invests most in the USA?
According to data from the Bureau of Economic Analysis, by foreign parent country, four nations accounted for half of total FDI in the U.S. by the end of 2023: the Netherlands (USD 717.5 billion), Japan (USD 688.1 billion), Canada (USD 671.6 billion), and the UK (USD 630.1 billion).

Halafu kuna huo uwongo eti China inaikopesha Marekani. China haijawahi kuikopesha Marekani. Watu wanachokiiita ni mkopo kwa Marekani toka China, ni USA government treasury bills, ambazo hata wewe ukiwa na oesa unaruhusiwa kununua. Serikali ya China huwa inanunua hizo treasury bills.

Ufahamu kuwa China ndiyo nchi inayoongoza kwa kuwa na wawekezaji wageni nchini mwake kuliko nchi yoyote Duniani. China siyo mwekezaji mkubwa nje ya nchi. Fahamuni kuwa pamoja na China kuwa na idadi ya watu zaidi ya mara tatu ya Marekani, lakini total GDP yake ni karibia nusu ya uchumi wa Marekani. Ndiyo maana kwenye uhalisia, China kiuchumi ipo chini sana kuliko USA.

Ndiyo maana kwa vigezo halisia vya maendeleo, Umoja wa Mataifa inaiweka China kwenye kundi la nchi zinazoendelea. Japo uchumi wake ni mkubwa lakini kutokana na uwingi wa watu, life standard ya mchina bado ipo Chini sana, ndiyo maana unawakuta huku kwetu wengine wanafanya biadhara ya kuchemsha mahindi, na kulala kwenye maghala kwa sababu ya umaskini.


China remains a developing country according to UN classifications.
Asante kaka. Umemaliza.
 
Harafu nyumbu wa 🇹🇿 watakwambia eti Saudia ataleta ugaidi so asiwekeza Bandari ya Bagamoyo 😁😁
Mwaka 2017 Saudi Arabia walikubalina na serikali ya Trump kununua silaha za US za billion $110 ndani ya kipindi kifupi na nyingine za billion $350 katika kipindi cha miaka 10. Marekani pia ina kituo chake cha kijeshi Saudi Arabia na makampuni ya mafuta. Kutoa bandari ili uuze nyama ya mbuzi uarabuni sidhani kama ni mabadilishano ya maana sana.
 
Sasa wewe hapa ndio unatumia hisia zako.

Haya nenda kafuatilie mauzo makubwa ya Tesla China mfano mwepesi mdogo

Halafu mimi nimejibu hoja yako kukuonesha kuwa kama China life standard ipo chini basi marekani ni worse kwa sababu watu wake hufa kwa kukosa makazi kila mwaka hii worse zaidi
OK boss
 
Population pia Huchangia japo kipato pia muhimu. Mfano India ni soko zuri sana na wengi wanaligombania ila ni nchi masikini sana.

Kuna Nchi za Ulaya zina maisha mazuri vibaya mno kama Za Scandnavia ila nadra kukuta wanagombaniwa.
Zile nchi mpaka uruhusiwe kupitisha huduma vigezo ni vingi mno. Wakilegeza masharti watagombaniwa sababu pp yao ipo vizuri.

Mfano hapa kwetu Kwenye utalii, Bara la Ulaya raia wake huwa wanatenga bajeti nzuri ya kuspend kulinganisha na mabara mengine kama Asia.
 
Mkuu haya maneno ungeyaongea kwa India ninge kuelewa lakini kwa China hapa .
China imejitahidi kuondoa umasikini kwa raia wake kiwango cha umasikini ndani ya China ni kidogo mkuu.
Yes mkuu, China kweli anapambana na umasikini ila kwa data zilizopo bado anaangukia kwenye developing countries.
 
Back
Top Bottom