Pigo kubwa kwa Brics: Saudi Arabia yaistukia Brics, yapanga kuwekeza dola bilioni 600 ndani ya miaka minne nchini Marekani.

Hiyo sio kweli ni porojo za kwenye vijiwe vya kahawa tu hizo. China haina uwekezaji wowote wa maana nchini Marekani.

Asante sana brother,kuna wazee wa vijiwe vya kahawa na kashata huku wametupia mtumba wa uchina na tecno ya tochi wanaichukulia poa sana US. Ila hawajiulizi kwanini anawapiga sunction na tariffs hao wenzie?
 
Saudi Arabia sio nchi ya kwanza wala ya mwisho kuwekeza nchini Marekani. Tatizo hamsomi ila mko mnategea kupata stori kutoka kwenye vijiwe vya kahawa na sana siku hizi masjid.🤷🤷🤷

Wakiwekeza ndani ya Marekani unashangilia ila wakija kuwekeza Tz basi nchi imeuzwa kwa waarabu nyinyi warokole wa kibongo mna akili za kijinga sana.
 
Ww jamaa uwezo wako wa kufikiri uko chini sana pamoja na kujifanya mjuaji.

Aliye kwambia BRICS ipo kwa ajili ya kuzuia wanachama wake kuwekeza au kufanya biashara na nchi nyingine ni nani?
China ndo muanzilishi wa hiyo Brics lakini ndo taifa lenye uwekezaji mkubwa ndani ya taifa la Marekani kuliko hata washirika wa Marekani, ndo mkopeshaji mkubwa wa marekani.
BRICS ipo kwa ajili ya kurahisisha biashara kati ya nchi wanachama na haipo kwa ajili ya kushindana na kuikomoa nchi yeyote acha undina.

Nyie watu sijui huu ujinga huwa mnalishwa na nani!! Eti China ndiyo inaongoza kuwekeza USA!! Ujinga huo alikufundisha nani??

Uwekezaji wa China nchini USA ni mdogo sana. Uwekezaji wa China nchini Marekani haufiki hata dola billioni 300.

Which country invests most in the USA?
According to data from the Bureau of Economic Analysis, by foreign parent country, four nations accounted for half of total FDI in the U.S. by the end of 2023: the Netherlands (USD 717.5 billion), Japan (USD 688.1 billion), Canada (USD 671.6 billion), and the UK (USD 630.1 billion).

Halafu kuna huo uwongo eti China inaikopesha Marekani. China haijawahi kuikopesha Marekani. Watu wanachokiiita ni mkopo kwa Marekani toka China, ni USA government treasury bills, ambazo hata wewe ukiwa na oesa unaruhusiwa kununua. Serikali ya China huwa inanunua hizo treasury bills.

Ufahamu kuwa China ndiyo nchi inayoongoza kwa kuwa na wawekezaji wageni nchini mwake kuliko nchi yoyote Duniani. China siyo mwekezaji mkubwa nje ya nchi. Fahamuni kuwa pamoja na China kuwa na idadi ya watu zaidi ya mara tatu ya Marekani, lakini total GDP yake ni karibia nusu ya uchumi wa Marekani. Ndiyo maana kwenye uhalisia, China kiuchumi ipo chini sana kuliko USA.

Ndiyo maana kwa vigezo halisia vya maendeleo, Umoja wa Mataifa inaiweka China kwenye kundi la nchi zinazoendelea. Japo uchumi wake ni mkubwa lakini kutokana na uwingi wa watu, life standard ya mchina bado ipo Chini sana, ndiyo maana unawakuta huku kwetu wengine wanafanya biadhara ya kuchemsha mahindi, na kulala kwenye maghala kwa sababu ya umaskini.

China remains a developing country according to UN classifications.
 
Eti life standard ya mchina na ipo chini sana hivi unajua unacho kiongea ww?

Alafu wanao pima vigezo vya nchi kuwa imeendelea ni IMF na Word bank na sio UN kama unavyo sema.
 
Life standard ya Mchina iko chini ndio maana wanakimbilia hadi kuja Kariakoo kuwa wamachinga na mawinga na kujazana huko vijijini pia wakichezesha madubwi ya kamari.
 
Mambo ya Uchumi waachie wachumi huku kudandia Meli ingali hujui kuogelea kutawasumbua sana.

Kumbuka wauzaji mafuta wa reverse kubwa sana ya Dollar na namna ya kupunguza ni kumrudishia mwenye dollar yake pasipo kuadhiri uchumi wa nchi husika.

Kwa kuwa USA ndio mwenye dollar kawekeze kwake tumia dollar kumrudishia. Hii maana yake unaipunguza kwenye mzunguko Kwa kuipeleka kwake, which may lead to inflation as well.

Lakini pia BRICS inalenga zaidi kuwafanya wanachama wauziane bifhaa Kwa kutumia local currency badala ya dollar ku avoid imported inflation and the like.

Tatu kuepuka vikwazo na hela zao kuchukuliwa kizembe kama Iran, Russia, Venezuela and the like.

Mwisho multipolar world Kila mtu apambane na hali yake na sio kumtegemea anko Sam
 
Eti life standard ya mchina na ipo chini sana hivi unajua unacho kiongea ww?
Mkuu, usitumie nguvu sana kubisha hili. China kuna utofauti wa kipato baina ya wengi na wachache(urban-rural income gap), na wengi wanaishi maisha ya kimasikini. Ingia hata online kwenye source unazoziamini.
 
Kama kigezo kuishi maisha ya kimasikini basi marekani ina life standard ya chini zaidi kuliko China kwa sababu U.S raia wake wengine hata makazi hawana wanakufa tu na baridi nje.
 
Life standard ya Mchina iko chini ndio maana wanakimbilia hadi kuja Kariakoo kuwa wamachinga na mawainga na kujazana huko vijijini pia wakicheza madubwi ya kamari.
Wachina huwajui wewe.

Endelea kufikiri ni mawinga kama ndugu zako Watanganyika nimefanya nao kazi wasanii wasanii hao hawajachoma nauli kutoka China ili kuja kuwa mawinga Tanzania.
 
Nyie watu sijui huu ujinga huwa mnalishwa na nani!! Eti China ndiyo inaongoza kuwekeza USA!! Ujinga huo alikufundisha nani??

Uwekezaji wa China nchini USA ni mdogo sana. Uwekezaji wa China nchini Marekani haufiki hata dola billioni 300.

Which country invests most in the USA?
According to data from the Bureau of Economic Analysis, by foreign parent country, four nations accounted for half of total FDI in the U.S. by the end of 2023: the Netherlands (USD 717.5 billion), Japan (USD 688.1 billion), Canada (USD 671.6 billion), and the UK (USD 630.1 billion).

Halafu kuna huo uwongo eti China inaikopesha Marekani. China haijawahi kuikopesha Marekani. Watu wanachokiiita ni mkopo kwa Marekani toka China, ni USA government treasury bills, ambazo hata wewe ukiwa na oesa unaruhusiwa kununua. Serikali ya China huwa inanunua hizo treasury bills.

Ufahamu kuwa China ndiyo nchi inayoongoza kwa kuwa na wawekezaji wageni nchini mwake kuliko nchi yoyote Duniani. China siyo mwekezaji mkubwa nje ya nchi. Fahamuni kuwa pamoja na China kuwa na idadi ya watu zaidi ya mara tatu ya Marekani, lakini total GDP yake ni karibia nusu ya uchumi wa Marekani. Ndiyo maana kwenye uhalisia, China kiuchumi ipo chini sana kuliko USA.

Ndiyo maana kwa vigezo halisia vya maendeleo, Umoja wa Mataifa inaiweka China kwenye kundi la nchi zinazoendelea. Japo uchumi wake ni mkubwa lakini kutokana na uwingi wa watu, life standard ya mchina bado ipo Chini sana, ndiyo maana unawakuta huku kwetu wengine wanafanya biadhara ya kuchemsha mahindi, na kulala kwenye maghala kwa sababu ya umaskini.

China remains a developing country according to UN classifications.
China ina idadi kubwa ya uwekezaji nje ya mipaka yake.
 
Kama kigezo kuishi maisha ya kimasikini basi marekani ina life standard ya chini zaidi kuliko China kwa sababu U.S raia wake wengine hata makazi hawana wanakufa tu na baridi nje.
Marekani watu laki saba hawana makazi, China watu milioni 2.5 hawana makazi.
 
Kama kigezo kuishi maisha ya kimasikini basi marekani ina life standard ya chini zaidi kuliko China kwa sababu U.S raia wake wengine hata makazi hawana wanakufa tu na baridi nje.
Marekani ndio ina raia masikini ila unapoilinganisha na China inabidi utumie data. Sikia mkuu, fanya kautafiti kadogo kwa data,. Mfano ukiangalia uwezo wa manunuzi, we pima Demand ya soko la bidhaa, watu hutamani kuuza bidhaa zao kwa raia wa nchi zipi? Zile nchi zinazoongoza kwa watu kutamani kuwauzia huduma na bidhaa basi assumption ni kwamba wana kipato kizuri.
 
Hujaelewa maana yake kwani ni pigo kubwa kwa maadui wa Marekani, unafikiri ni kwa nini hao waarabu hawawekezi Afrika...!!??
Una DP world hapo bandari yako, Dp world yupo Rwanda, Congo, Msumbiji, Senegal etc badala ya kutumia hata akili hata kidogo unaandika ujinga.

Nchi za GCC zime invest si chini ya $100B sub Sahara Africa miaka ya Karibuni, na Investment zinaongezeka.

Hao ni wafanyabiashara hawabagui, Hayo mafuta ya Urusi Ulaya waliyakataa Saudi akayachukua akawa anawauzia hao hao Ulaya.

So wanafanya Biashara na yoyote yule as long as kuna return.
 
Marekani ndio ina raia masikini ila unapoilinganisha na China inabidi utumie data. Sikia mkuu, fanya kautafiti kadogo kwa data, usitumie hisia. Mfano ukiangalia uwezo wa manunuzi, we pima Demand ya soko la bidhaa, watu hutamani kuuza bidhaa zao kwa raia wa nchi zipi? Zile nchi zinazoongoza kwa watu kutamani kuwauzia huduma na bidhaa basi assumption ni kwamba wana kipato kizuri.
Sasa wewe hapa ndio unatumia hisia zako.

Haya nenda kafuatilie mauzo makubwa ya Tesla China mfano mwepesi mdogo

Halafu mimi nimejibu hoja yako kukuonesha kuwa kama China life standard ipo chini basi marekani ni worse kwa sababu watu wake hufa kwa kukosa makazi kila mwaka hii worse zaidi
 
Marekani ndio ina raia masikini ila unapoilinganisha na China inabidi utumie data. Sikia mkuu, fanya kautafiti kadogo kwa data, usitumie hisia. Mfano ukiangalia uwezo wa manunuzi, we pima Demand ya soko la bidhaa, watu hutamani kuuza bidhaa zao kwa raia wa nchi zipi? Zile nchi zinazoongoza kwa watu kutamani kuwauzia huduma na bidhaa basi assumption ni kwamba wana kipato kizuri.
Population pia Huchangia japo kipato pia muhimu. Mfano India ni soko zuri sana na wengi wanaligombania ila ni nchi masikini sana.

Kuna Nchi za Ulaya zina maisha mazuri vibaya mno kama Za Scandnavia ila nadra kukuta wanagombaniwa.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kama kigezo kuishi maisha ya kimasikini basi marekani ina life standard ya chini zaidi kuliko China kwa sababu U.S raia wake wengine hata makazi hawana wanakufa tu na baridi nje.
Wachina million 300 ni vibarua wanaoishi kwenye mabweni yenye hali duni ambapo ni sawa na kutokuwa na makazi tu.
 
Mkuu, usitumie nguvu sana kubisha hili. China kuna utofauti wa kipato baina ya wengi na wachache(urban-rural income gap), na wengi wanaishi maisha ya kimasikini. Ingia hata online kwenye source unazoziamini.
Mkuu haya maneno ungeyaongea kwa India ninge kuelewa lakini kwa China hapa .
China imejitahidi kuondoa umasikini kwa raia wake kiwango cha umasikini ndani ya China ni kidogo mkuu.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mkuu haya maneno ungeyaongea kwa India ninge kuelewa lakini kwa China hapa .
China imejitahidi kuondoa umasikini kwa raia wake kiwango cha umasikini ndani ya China ni kidogo mkuu.
Wachina million 300 wanaishi kwenye mabweni wakiwa na maisha ya kutanga tanga tu.
 
Back
Top Bottom