Kida ze great
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 242
- 288
Asante sana brother,kuna wazee wa vijiwe vya kahawa na kashata huku wametupia mtumba wa uchina na tecno ya tochi wanaichukulia poa sana US. Ila hawajiulizi kwanini anawapiga sunction na tariffs hao wenzie?Hiyo sio kweli ni porojo za kwenye vijiwe vya kahawa tu hizo. China haina uwekezaji wowote wa maana nchini Marekani.
Foreign investment in the United States - Santandertrade.com
[Foreign investment in the United States - Santandertrade.com] is good,have a look at it!uc.xyz
Wakiwekeza ndani ya Marekani unashangilia ila wakija kuwekeza Tz basi nchi imeuzwa kwa waarabu nyinyi warokole wa kibongo mna akili za kijinga sana.Saudi Arabia sio nchi ya kwanza wala ya mwisho kuwekeza nchini Marekani. Tatizo hamsomi ila mko mnategea kupata stori kutoka kwenye vijiwe vya kahawa na sana siku hizi masjid.🤷🤷🤷
Foreign investment in the United States - Santandertrade.com
[Foreign investment in the United States - Santandertrade.com] is good,have a look at it!uc.xyz
Ww jamaa uwezo wako wa kufikiri uko chini sana pamoja na kujifanya mjuaji.
Aliye kwambia BRICS ipo kwa ajili ya kuzuia wanachama wake kuwekeza au kufanya biashara na nchi nyingine ni nani?
China ndo muanzilishi wa hiyo Brics lakini ndo taifa lenye uwekezaji mkubwa ndani ya taifa la Marekani kuliko hata washirika wa Marekani, ndo mkopeshaji mkubwa wa marekani.
BRICS ipo kwa ajili ya kurahisisha biashara kati ya nchi wanachama na haipo kwa ajili ya kushindana na kuikomoa nchi yeyote acha undina.
China ana viwanda gani Marekani??Kwani BRICS inazuia kuwekeza Marekani? China mbona kawekeza sana Marekani? China ana viwanda Marekani, hilo unasemaje?
Eti life standard ya mchina na ipo chini sana hivi unajua unacho kiongea ww?Nyie watu sijui huu ujinga huwa mnalishwa na nani!! Eti China ndiyo inaongoza kuwekeza USA!! Ujinga huo alikufundisha nani??
Uwekezaji wa China nchini USA ni mdogo sana. Uwekezaji wa China nchini Marekani haufiki hata dola billioni 300.
Which country invests most in the USA?
According to data from the Bureau of Economic Analysis, by foreign parent country, four nations accounted for half of total FDI in the U.S. by the end of 2023: the Netherlands (USD 717.5 billion), Japan (USD 688.1 billion), Canada (USD 671.6 billion), and the UK (USD 630.1 billion).Foreign investment in the United States - Santandertrade.com
The context of foreign investment in the United States : American market's assets and inconvenients, foreign direct investments (FDI) Inward Flow, main investing countries and privileged sectors for investing.santandertrade.com
Halafu kuna huo uwongo eti China inaikopesha Marekani. China haijawahi kuikopesha Marekani. Watu wanachokiiita ni mkopo kwa Marekani toka China, ni USA government treasury bills, ambazo hata wewe ukiwa na oesa unaruhusiwa kununua. Serikali ya China huwa inanunua hizo treasury bills.
Ufahamu kuwa China ndiyo nchi inayoongoza kwa kuwa na wawekezaji wageni nchini mwake kuliko nchi yoyote Duniani. China siyo mwekezaji mkubwa nje ya nchi. Fahamuni kuwa pamoja na China kuwa na idadi ya watu zaidi ya mara tatu ya Marekani, lakini total GDP yake ni karibia nusu ya uchumi wa Marekani. Ndiyo maana kwenye uhalisia, China kiuchumi ipo chini sana kuliko USA.
Ndiyo maana kwa vigezo halisia vya maendeleo, Umoja wa Mataifa inaiweka China kwenye kundi la nchi zinazoendelea. Japo uchumi wake ni mkubwa lakini kutokana na uwingi wa watu, life standard ya mchina bado ipo Chini sana, ndiyo maana unawakuta huku kwetu wengine wanafanya biadhara ya kuchemsha mahindi, na kulala kwenye maghala kwa sababu ya umaskini.
China remains a developing country according to UN classifications.
Life standard ya Mchina iko chini ndio maana wanakimbilia hadi kuja Kariakoo kuwa wamachinga na mawinga na kujazana huko vijijini pia wakichezesha madubwi ya kamari.Eti life standard ya mchina na ipo chini sana hivi unajua unacho kiongea ww?
Alafu wanao pima vigezo vya nchi kuwa imeendelea ni IMF na Word bank na sio UN kama unavyo sema.
Mkuu, usitumie nguvu sana kubisha hili. China kuna utofauti wa kipato baina ya wengi na wachache(urban-rural income gap), na wengi wanaishi maisha ya kimasikini. Ingia hata online kwenye source unazoziamini.Eti life standard ya mchina na ipo chini sana hivi unajua unacho kiongea ww?
Kama kigezo kuishi maisha ya kimasikini basi marekani ina life standard ya chini zaidi kuliko China kwa sababu U.S raia wake wengine hata makazi hawana wanakufa tu na baridi nje.Mkuu, usitumie nguvu sana kubisha hili. China kuna utofauti wa kipato baina ya wengi na wachache(urban-rural income gap), na wengi wanaishi maisha ya kimasikini. Ingia hata online kwenye source unazoziamini.
Wachina huwajui wewe.Life standard ya Mchina iko chini ndio maana wanakimbilia hadi kuja Kariakoo kuwa wamachinga na mawainga na kujazana huko vijijini pia wakicheza madubwi ya kamari.
China ina idadi kubwa ya uwekezaji nje ya mipaka yake.Nyie watu sijui huu ujinga huwa mnalishwa na nani!! Eti China ndiyo inaongoza kuwekeza USA!! Ujinga huo alikufundisha nani??
Uwekezaji wa China nchini USA ni mdogo sana. Uwekezaji wa China nchini Marekani haufiki hata dola billioni 300.
Which country invests most in the USA?
According to data from the Bureau of Economic Analysis, by foreign parent country, four nations accounted for half of total FDI in the U.S. by the end of 2023: the Netherlands (USD 717.5 billion), Japan (USD 688.1 billion), Canada (USD 671.6 billion), and the UK (USD 630.1 billion).Foreign investment in the United States - Santandertrade.com
The context of foreign investment in the United States : American market's assets and inconvenients, foreign direct investments (FDI) Inward Flow, main investing countries and privileged sectors for investing.santandertrade.com
Halafu kuna huo uwongo eti China inaikopesha Marekani. China haijawahi kuikopesha Marekani. Watu wanachokiiita ni mkopo kwa Marekani toka China, ni USA government treasury bills, ambazo hata wewe ukiwa na oesa unaruhusiwa kununua. Serikali ya China huwa inanunua hizo treasury bills.
Ufahamu kuwa China ndiyo nchi inayoongoza kwa kuwa na wawekezaji wageni nchini mwake kuliko nchi yoyote Duniani. China siyo mwekezaji mkubwa nje ya nchi. Fahamuni kuwa pamoja na China kuwa na idadi ya watu zaidi ya mara tatu ya Marekani, lakini total GDP yake ni karibia nusu ya uchumi wa Marekani. Ndiyo maana kwenye uhalisia, China kiuchumi ipo chini sana kuliko USA.
Ndiyo maana kwa vigezo halisia vya maendeleo, Umoja wa Mataifa inaiweka China kwenye kundi la nchi zinazoendelea. Japo uchumi wake ni mkubwa lakini kutokana na uwingi wa watu, life standard ya mchina bado ipo Chini sana, ndiyo maana unawakuta huku kwetu wengine wanafanya biadhara ya kuchemsha mahindi, na kulala kwenye maghala kwa sababu ya umaskini.
China remains a developing country according to UN classifications.
Marekani watu laki saba hawana makazi, China watu milioni 2.5 hawana makazi.Kama kigezo kuishi maisha ya kimasikini basi marekani ina life standard ya chini zaidi kuliko China kwa sababu U.S raia wake wengine hata makazi hawana wanakufa tu na baridi nje.
Marekani ndio ina raia masikini ila unapoilinganisha na China inabidi utumie data. Sikia mkuu, fanya kautafiti kadogo kwa data,. Mfano ukiangalia uwezo wa manunuzi, we pima Demand ya soko la bidhaa, watu hutamani kuuza bidhaa zao kwa raia wa nchi zipi? Zile nchi zinazoongoza kwa watu kutamani kuwauzia huduma na bidhaa basi assumption ni kwamba wana kipato kizuri.Kama kigezo kuishi maisha ya kimasikini basi marekani ina life standard ya chini zaidi kuliko China kwa sababu U.S raia wake wengine hata makazi hawana wanakufa tu na baridi nje.
Hizi data umepatia wapi ?Marekani watu laki saba hawana makazi, China watu milioni 2.5 hawana makazi.
Una DP world hapo bandari yako, Dp world yupo Rwanda, Congo, Msumbiji, Senegal etc badala ya kutumia hata akili hata kidogo unaandika ujinga.Hujaelewa maana yake kwani ni pigo kubwa kwa maadui wa Marekani, unafikiri ni kwa nini hao waarabu hawawekezi Afrika...!!??
Sasa wewe hapa ndio unatumia hisia zako.Marekani ndio ina raia masikini ila unapoilinganisha na China inabidi utumie data. Sikia mkuu, fanya kautafiti kadogo kwa data, usitumie hisia. Mfano ukiangalia uwezo wa manunuzi, we pima Demand ya soko la bidhaa, watu hutamani kuuza bidhaa zao kwa raia wa nchi zipi? Zile nchi zinazoongoza kwa watu kutamani kuwauzia huduma na bidhaa basi assumption ni kwamba wana kipato kizuri.
Population pia Huchangia japo kipato pia muhimu. Mfano India ni soko zuri sana na wengi wanaligombania ila ni nchi masikini sana.Marekani ndio ina raia masikini ila unapoilinganisha na China inabidi utumie data. Sikia mkuu, fanya kautafiti kadogo kwa data, usitumie hisia. Mfano ukiangalia uwezo wa manunuzi, we pima Demand ya soko la bidhaa, watu hutamani kuuza bidhaa zao kwa raia wa nchi zipi? Zile nchi zinazoongoza kwa watu kutamani kuwauzia huduma na bidhaa basi assumption ni kwamba wana kipato kizuri.
Wachina million 300 ni vibarua wanaoishi kwenye mabweni yenye hali duni ambapo ni sawa na kutokuwa na makazi tu.Kama kigezo kuishi maisha ya kimasikini basi marekani ina life standard ya chini zaidi kuliko China kwa sababu U.S raia wake wengine hata makazi hawana wanakufa tu na baridi nje.
Mkuu haya maneno ungeyaongea kwa India ninge kuelewa lakini kwa China hapa .Mkuu, usitumie nguvu sana kubisha hili. China kuna utofauti wa kipato baina ya wengi na wachache(urban-rural income gap), na wengi wanaishi maisha ya kimasikini. Ingia hata online kwenye source unazoziamini.
Wachina million 300 wanaishi kwenye mabweni wakiwa na maisha ya kutanga tanga tu.Mkuu haya maneno ungeyaongea kwa India ninge kuelewa lakini kwa China hapa .
China imejitahidi kuondoa umasikini kwa raia wake kiwango cha umasikini ndani ya China ni kidogo mkuu.