Pigo kubwa kwa Brics: Saudi Arabia yaistukia Brics, yapanga kuwekeza dola bilioni 600 ndani ya miaka minne nchini Marekani.

Wachina million 300 ni vibarua wanaoishi kwenye mabweni yenye hali duni ambapo ni sawa na kutokuwa na makazi tu.
Marekani angekuwa idadi ya watu kama china nadhani wangekuwa wanafika milion 600.
 
Wachina million 300 wanaishi kwenye mabweni wakiwa na maisha ya kutanga tanga tu.
Tupe data acha kutoa kichwani.
Kutafuta furusa ni kutanga tanga?
 
Tatizo la BRICS siyo uwekezaji tatizo lao ni kuikomoa dollars. Kwa Saudia kufanya hivyo imeumia sana kwasababu inaenda kuiboost dollar zaidi.
Kwa hiyo Mangi unafurahia uhuni wa nchi za Magharibi?
Anyway huyo Mwana Mfalme nia yake kubwa ni kulinda ufalme wake na anajua kuingiza Saudi Arabia kwenye BRICS ni kukaribisha fitna za Marekani kwenye utawala wao.
 
Kwa hiyo Mangi unafurahia uhuni wa nchi za Magharibi?
Anyway huyo Mwana Mfalme nia yake kubwa ni kulinda ufalme wake na anajua kuingiza Saudi Arabia kwenye BRICS ni kukaribisha fitna za Marekani kwenye utawala wao.
UAE wapo BRICS+
 
Asante sana brother,kuna wazee wa vijiwe vya kahawa na kashata huku wametupia mtumba wa uchina na tecno ya tochi wanaichukulia poa sana US. Ila hawajiulizi kwanini anawapiga sunction na tariffs hao wenzie?
Na lazima waichukuliw poa US na ulaya sababu hawajawahi miliki bidhaa za huko. Ni sawa na mtu kusema Tecno/Infinix haina tofauti yeyote na Samsung.
 
Harafu nyumbu wa πŸ‡ΉπŸ‡Ώ watakwambia eti Saudia ataleta ugaidi so asiwekeza Bandari ya Bagamoyo 😁😁
 
Hujaelewa maana yake kwani ni pigo kubwa kwa maadui wa Marekani, unafikiri ni kwa nini hao waarabu hawawekezi Afrika...!!??
unawekezaje afrika au brics ambapo mtu mmoja ambaye anaweza asishikwe kende na mkewe usiku vizuri au kinena na mumewake

hasira zote ,akaleta kwa wananchi na kuanza kuvunja mikataba hovyo kisa eti muhimili mmoja umejikita zaidi kwa mingine
 
Asante kaka. Umemaliza.
 
Harafu nyumbu wa πŸ‡ΉπŸ‡Ώ watakwambia eti Saudia ataleta ugaidi so asiwekeza Bandari ya Bagamoyo 😁😁
Mwaka 2017 Saudi Arabia walikubalina na serikali ya Trump kununua silaha za US za billion $110 ndani ya kipindi kifupi na nyingine za billion $350 katika kipindi cha miaka 10. Marekani pia ina kituo chake cha kijeshi Saudi Arabia na makampuni ya mafuta. Kutoa bandari ili uuze nyama ya mbuzi uarabuni sidhani kama ni mabadilishano ya maana sana.
 
OK boss
 
Population pia Huchangia japo kipato pia muhimu. Mfano India ni soko zuri sana na wengi wanaligombania ila ni nchi masikini sana.

Kuna Nchi za Ulaya zina maisha mazuri vibaya mno kama Za Scandnavia ila nadra kukuta wanagombaniwa.
Zile nchi mpaka uruhusiwe kupitisha huduma vigezo ni vingi mno. Wakilegeza masharti watagombaniwa sababu pp yao ipo vizuri.

Mfano hapa kwetu Kwenye utalii, Bara la Ulaya raia wake huwa wanatenga bajeti nzuri ya kuspend kulinganisha na mabara mengine kama Asia.
 
Mkuu haya maneno ungeyaongea kwa India ninge kuelewa lakini kwa China hapa .
China imejitahidi kuondoa umasikini kwa raia wake kiwango cha umasikini ndani ya China ni kidogo mkuu.
Yes mkuu, China kweli anapambana na umasikini ila kwa data zilizopo bado anaangukia kwenye developing countries.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…