Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

Watu wanataka wavalishwe taji wasilostahili.

Kanisa ni Moja, Takatifu, Katoliki la Mitume.
 
Ndio hii inashangaza.Mungu ndio anayehukumu.Inakuwaje binadamu tunahukumu?
Tofautisha hukumu ya Mungu na hii ya kupewa heshima na kanisa siku yako ya mwisho. Hukumu ya Mungu ipo pale pale hata kwa anayezikwa kwa ibada ya kanisa hii ni kulingana na maisha ya mtu.

Shirikiana na kanisa na fuata amri za Mungu na za Kanisa kama unataka kanisa likupe heshima ya ibada ya mwisho.
 
Kwani wao ndo wenye uamuzi wa nani aingie mbinguni au hapana. Wanaona jamaa mchochezi kama TL alivyokuwa anasakamwa? Waache utoto
Mkuu rudia kusoma,wao wamekataa kumfanyia ibada kwa mujibu wa taratibu na kanuni za Wakatoliki.
Hawajamzuia kuingia Mbinguni kwakuwa hiyo siyo kazi yao.
 
One, holy, apostolic, Catholic church
 
Wangetafuta shekhe kazi kwisha. Silimisha Maiti na zika
 
Kwa vitendo hivi vya RC mimi namushukuru Mungu kunifanya kua Muislamu, huo ujinga kama huo huwezi kuuona.
 
Hapa ndio dini yangu huwa inanichosha kabisa!

Hata wakatae kumsalia, what difference does it make to a dead man?🧟‍♂️ AbsoFREAKINGlutely NONE!!!!
Bila shaka wewe Dr Lizzy hujui nguvu ya kitu kinachoitwa "DINI" ktk maisha ya watu...

And as for this, Yes, it makes a big difference and on the other hand it doesn't make any for people like you..

👉Haileti tofauti yoyote kwa mfu (maiti) kwa sababu hana uhai tena, amekufa. This is a dead fact..!

👉 However, on the other hand there's a living fact. Kwamba, hii inaleta maana na tofauti kubwa sana kuliko akili yako iwazavyo hasa kwa sisi (mimi, wewe na wengine wote) hususani nduguze marehemu walio hai..

That's why wanahangaika huku na huku kwa ajili ya maiti yao. Why?

Ni kwa sababu hayo ni matokeo ya maisha aliyoyaishi ndugu yao alipokuwa hai, kwamba mwisho wa siku waje wahangaike wanapotaka kumzika..!!

√ Ukiwa na mahusiano mabaya na watu automatic hutakuwa na mahusiano mema na Mungu. Au hujui kuwa imeandikwa mahali fulani ktk Biblia kwamba;

"....utasemaje una mahusiano mema na Mungu usiyemwona iwapo una uhusiano mbaya na nduguyo unayemwona....?"

√ Baada ya kifo chako, walio hai (nduguzo na marafiki zako) lazima wa - feel na kukabiliana na matokeo ya maisha yako uliyoyaishi duniani ukiwa hai.

√ Usifikiri mambo ni rahisi kwa hawa ndugu kwa kufanyiwa hivi na dini yao. It's obvious kuwa, hawa nduguze huyo marehemu are psychologically & emotionally very much disturbed na yanayaowakuta sasa..

√ Wangekuwa wana fikiri kama wewe kwa kauli ya "what difference does it make", wangepakia maiti wao kwenye pick up na kwenda kumzika huko au kmtupa wanakojua wao. Lakini walianya kila njia ili ndugu yao azikwe kwa protocol za kidini waliyoiishi maisha yao yote

Sasa kama ulikuwa hujui nguvu ya DINI ianze kuijua leo na fanya kila uwezalo Dr Lizzy kuiheshimu dini uliyoamua kuwa nayo...

Kama umeamua kuwa ktk dini ya shetani, iheshimu na fuatana misingi na kanuni zake. Kama umeamua kuwa ktk dini ya Mungu Yehova wa kweli, hivyo hivyo iheshimu na ishi kwa misingi na kanuni zake..

Acha kujifariji na vijikauli kama "what difference does it make". Mimi nakuambia, everything makes big difference to one another..!!
 
Kwaio Kwa watakao mlinga PAPA juu ya ushoga na Ndoa za jinsia Moja watakiona?!
 
mnahukumiana duniani? huyo mungu atafanya kazi hani?
 
Na kanisa wasiposhiriki kwenye shughuli za mazishi, Marehemu anapungukiwa nini?
Sasa km hapungukiwi kitu,Kwanini ndugu zake walienda Kanisani kuomba huduma ya mazishi?.Si wangezika tu bila mizunguko yote hiyo?!!.Ndugu zake wanafahamu Maana yake ndio Maana walipiga mizunguko yote hiyo.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Sasa wasipomzika ndio nini? Unajua kuna adhabu za kipuuzi sana watu mnaoamini dini mnatishiwa navyo. Yani mimi nife akatae kunizika shekhe, mchungaji, padri, askofu au yeyote anayejiona eti ni mtu wa Mungu na asinizike tu! Nishakufa nimekufa. Hizo ibada zenu za mazishi ni tamaduni mlizoiga tu kutoka huko mlikozitoa. Huyo Ole Mushi ni vivyo hivyo.
 
sidhani kama ni hivyo
inawezekana zipo kabisa sababu zingne za kichungaji ambazo muumini mwenyewe anahusika nazo.
lakini kwa maelezo yako hakukosa MISA. sema sio kama ilivyotarajiwa
 
Hapa ndio dini yangu huwa inanichosha kabisa!

Hata wakatae kumsalia, what difference does it make to a dead man?[emoji3446] AbsoFREAKINGlutely NONE!!!!

Ujumbe hautumwi kwa deadman,unatumwa kwa wakio hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…