Hapa ndio dini yangu huwa inanichosha kabisa!
Hata wakatae kumsalia, what difference does it make to a dead man?🧟♂️ AbsoFREAKINGlutely NONE!!!!
Bila shaka wewe
Dr Lizzy hujui nguvu ya kitu kinachoitwa "DINI" ktk maisha ya watu...
And as for this, Yes, it makes a big difference and on the other hand it doesn't make any for people like you..
👉Haileti tofauti yoyote kwa mfu (maiti) kwa sababu hana uhai tena, amekufa. This is a dead fact..!
👉 However, on the other hand there's a living fact. Kwamba, hii inaleta maana na tofauti kubwa sana kuliko akili yako iwazavyo hasa kwa sisi (mimi, wewe na wengine wote) hususani nduguze marehemu walio hai..
That's why wanahangaika huku na huku kwa ajili ya maiti yao. Why?
Ni kwa sababu hayo ni matokeo ya maisha aliyoyaishi ndugu yao alipokuwa hai, kwamba mwisho wa siku waje wahangaike wanapotaka kumzika..!!
√ Ukiwa na mahusiano mabaya na watu automatic hutakuwa na mahusiano mema na Mungu. Au hujui kuwa imeandikwa mahali fulani ktk Biblia kwamba;
"....utasemaje una mahusiano mema na Mungu usiyemwona iwapo una uhusiano mbaya na nduguyo unayemwona....?"
√ Baada ya kifo chako, walio hai (nduguzo na marafiki zako) lazima wa - feel na kukabiliana na matokeo ya maisha yako uliyoyaishi duniani ukiwa hai.
√ Usifikiri mambo ni rahisi kwa hawa ndugu kwa kufanyiwa hivi na
dini yao. It's obvious kuwa, hawa nduguze huyo marehemu are psychologically & emotionally very much disturbed na yanayaowakuta sasa..
√ Wangekuwa wana fikiri kama wewe kwa kauli ya "
what difference does it make", wangepakia maiti wao kwenye pick up na kwenda kumzika huko au kmtupa wanakojua wao. Lakini walianya kila njia ili ndugu yao azikwe kwa protocol za kidini waliyoiishi maisha yao yote
Sasa kama ulikuwa hujui nguvu ya DINI ianze kuijua leo na fanya kila uwezalo
Dr Lizzy kuiheshimu dini uliyoamua kuwa nayo...
Kama umeamua kuwa ktk dini ya shetani, iheshimu na fuatana misingi na kanuni zake. Kama umeamua kuwa ktk dini ya
Mungu Yehova wa kweli, hivyo hivyo iheshimu na ishi kwa misingi na kanuni zake..
Acha kujifariji na vijikauli kama "what difference does it make". Mimi nakuambia, everything makes big difference to one another..!!