Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

Aaaah Kwani wakiendesha misa Ndio atafukuka Au?Mbona papa amebariki mashoga na kuwapokea kanisani licha ya udhaifu wao.
 
Kifupi wakatoliki sera zao zinapingana sana na bible,
Kwanza kitendo cha kumtenga mtu kwa jambo la kidunia ni la ajabu sana, na hii ni ego ya kitima kujiona yuko smart
 
Siku hizi JF imekuwa kijiwe Cha uongo, Mtu anaandika kinacho mfurahisha hivi hayo unayoyasema umeyatoa wapi lini kanisa llmetangaza, weka tangazo au barua tuone, Wengi tunachangia kama mazuzu bila kujiuliza Kwa chuki zetu dhidi ya ukatoliki.
 
Na kanisa wasiposhiriki kwenye shughuli za mazishi, Marehemu anapungukiwa nini?
Kuwepo kwa habari hii ni dalili tosha kuwa marehemu amepungukiwa. Angekuwa hajapingukiwa, isingekuwa habari
 
Kifupi wakatoliki sera zao zinapingana sana na bible,
Na wao ndio walioratibu uandishi wa hiyo hiyo bible unayoitumia. Nipo tayari kukuwekea jinsi Kanisa (hapa namaanisha RC) walivyoratibu uandishi wa bible, na wewe ujiandae kionyesha hiyo bible ya vitabu 66 uliitoa wapi kama sio subset ya bible ya RC
 
upuuzi mtupu...hovyo kabisa Rc
 
Kifupi wakatoliki sera zao zinapingana sana na bible,
Kwanza kitendo cha kumtenga mtu kwa jambo la kidunia ni la ajabu sana, na hii ni ego ya kitima kujiona yuko smart
mnooo hakuna mkamilifu hapa duniani
 
Bilionea wa Arusha na mahela yake yote lakini kanisa halikushiriki mazishi yake.
 
Wanahubiri kusamehe saba mara sabini ikiwa wao hawatekelezi binadamu siku zote anazikwa na asiyo wajua aibu yao hao Tec!
 
Mimi nikifa hata padri asipofika fresh tu nizikwe na raia.
Japo sikuwa nakubaliana kuuzwa kwa bandari, lakini kwani mtu haruhusiwi kuwa na mawazo huru? Siasa za namna hii zitalipasua taifa. No wonder, waumini wa kanisa siku hizi wanatanga tanga kwa mwamposa, mara sijui kwa nani kwa sababu ya mambo kama haya
 
Kanisa Katoliki huwa halibembelezi maana haifanyi biashara. Kama Kingunge Ngombale Mwiru na Ruge Mutahaba walikataliwa ibada, sembuse wewe?
Kanisa RC litakufundisha kwa nguvu zote uelewe imani, ila ukijitenga linakuacha maana ni uamuzi wako. Usifikiri RC huwa wanaingia hofu kusikia sijui umeenda kwa Mwamposa au nani sijui, wala hawahangaiki, wao wana deal na waumini wao tu waliopo. By the way, ulishawahi kusikia Mwamposa anaendesha ibada ya mazishi, ubatizo au ndoa? Hilo nakuachia utafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…