- Thread starter
- #21
Wahitaji tayari wameshajua wapi pakupata bei na wameshaipataUnaweka Tangazo bila ya kuwa na bei unategemea nn hasa? Mategemeo ni kupata comments kama hizo hapo juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahitaji tayari wameshajua wapi pakupata bei na wameshaipataUnaweka Tangazo bila ya kuwa na bei unategemea nn hasa? Mategemeo ni kupata comments kama hizo hapo juu
HujaelewaNani anunue pikipiki hio milion 5!?
Labda mabwege Tu
Sio lazima tangazo liwe na beiWeka bei una maana gan kuweka tangazo bila bei
Na wewe pia ni mbunifu wa kubuni comedyalivyo mjanja akaipolish na cocacola haha! watu wabunifu
Hivi ndivyo wa Tanzania tunavyowazaPembeni naona kopo la jiki[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Njoo inboxTsh ngap?
Kaka biashara yako, ukapiga picha mwenyewe, ukapost mwenyewe,mbwembwe za nn na hasira.Wahitaji tayari wameshajua wapi pakupata bei na wameshaipata
Huna mpango tuelewe,Hujaelewa
Wonders shall never end.Sio lazima tangazo liwe na bei
Free market, biashara huria ukiwa kitu ukihitaji sio lazima u comment,Kaka biashara yako, ukapiga picha mwenyewe, ukapost mwenyewe,mbwembwe za nn na hasira.
Fanya kama unaipotezea hivi,Wonders shall never end.
Ahsante kwa kuchangiaMillion tank corolla full ac na chenji Pkpk hiyo sio being unatania sema laki tano watu tunaweza kuzungumza Fekon mpya 1.9m
Free market, biashara huriaKaka biashara yako, ukapiga picha mwenyewe, ukapost mwenyewe,mbwembwe za nn na hasira.
Njoo inboxHaina kiwango
Umefurahi eeehNimem- pm jamaa anadai eti anaiuza milioni tano na laki tano. Nimeona huyu chizi wa mwaka 2018.
Imeshauzwa ndugu, Ahsante kwa kushirikiHaina kiwango
Si sana.Umefurahi eeeh