INAUZWA Pikipiki Inauzwa

INAUZWA Pikipiki Inauzwa

Nimechangia nini mpenzi wakati hata posa bado sijaleta.
bd09dc7aa8062167bf29939e40917f24.jpg
 
Hivi nikikuoa utasema nimekuonea mpenzi?
Nashukuru sana JF kupitia Uzi huu ni metengeneza pesa za kuweza kutatua changamoto zangu za kimaisha,

Chochote mtu anachokifanya kinachompotezea muda wake au vocha zake, kabla hajakifanya ajiulize kina manufaa gani kwa kesho yake,

Ujinga na upuuzi mavuno yake ni hivyo hivyo ujinga na upuuzi,

Ujinga na upuuzi huleta umasikini

Ahsante kwa kuchangia
 
Nikikuoa baada ya wiki mbili nakupa taraka tatu.
 
kwa nini tangazo lako usingelipeleka in box? unaambiwa weka bei njoo i box fumbafu thana
 
uanzishwe uzi wa kuuza pikipiki aseeh, maana wengine tunawezo huo gari hatutoboi
 
Back
Top Bottom