- Thread starter
- #61
Tumekusoma na tunathamini sana mchango wakoViwanda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumekusoma na tunathamini sana mchango wakoViwanda.
VUA MIWANI NAONA HUONI SAWASAWANani anunue pikipiki hio milion 5!?
Labda mabwege Tu
hongera mkuu kwa kuuza na mrejesho maana wengine wanapigaga kelele wakiwa na shida tuuImeshanunuliwa, Ahsante kwa kuchangia
Hicho kigoda wauzie wachaga wa rombo[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 668087Hicho kigoda wauzie wachaga wa rombo[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 668087Hicho kigoda wauzie wachaga wa rombo[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 668087Hicho kigoda wauzie wachaga wa rombo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante kwa kuchangia, tunathamini sana mchango wakoHicho kigoda wauzie wachaga wa rombo[emoji23][emoji23][emoji23]
Poapoa [emoji2] [emoji2]Ahsante kwa kuchangia, tunathamini sana mchango wako
Ahsante and regardhongera mkuu kwa kuuza na mrejesho maana wengine wanapigaga kelele wakiwa na shida tuu
Ahsante kwa kuchangia, tunathamini sana mchango wakoBasi hilo tangazo lako ungeweka huko inbox ambako umeweka bei.
Ahsante kwa kuchangia, tunathamini mchango wakoKizuri chajiuza kibaya chajitembeza
Lakini umekubali nikuoe?Nashukuru sana kuchangia kwenye wall, kwani ulivyokua una comment ulikua unasababisha UZI huu uendelee kua current na kukaa juu kabisa kwenye forum na kila aliekua anaingia alikua anauona,
Kwa hiyo kwa juhudi zako za kuchangia hizo comment ulizokua una comment, kwa namna moja au nyingine umefanikisha mteja kupatikana kwa haraka,
Ahsante kwa kushiriki, pikipiki imeshanunuliwa
Kwa sasa MIND YOUR BUSINESS
Ahsante kwa kuchangiaLakini umekubali nikuoe?
Nimechangia nini mpenzi wakati hata posa bado sijaleta.Ahsante kwa kuchangia