INAUZWA Pikipiki Inauzwa

INAUZWA Pikipiki Inauzwa

Hizo Huoniao Tanga ndio maarufu..bei yake haizidi M2 na kidogo..yaani hapo ni mpaka unaingia barabarani..
 
Inaonekana una nidhamu kichizi....itabidi nikuoe mpenzi.
Nashukuru sana kuchangia kwenye wall, kwani ulivyokua una comment ulikua unasababisha UZI huu uendelee kua current na kukaa juu kabisa kwenye forum na kila aliekua anaingia alikua anauona,

Kwa hiyo kwa juhudi zako za kuchangia hizo comment ulizokua una comment, kwa namna moja au nyingine umefanikisha mteja kupatikana kwa haraka,

Ahsante kwa kushiriki, pikipiki imeshanunuliwa

Kwa sasa MIND YOUR BUSINESS
 
Back
Top Bottom